Ushauri tafadhali, nataka kuacha kazi Serikalini nitimkie ughaibuni

Hahaha ww mawaZo na akili yako ni kama yangu,ila nlichokuzidi mm nimeperuz na kusoma the way visa na jinsi ya kumigrate nchi nyingi duniani and I have my passport on my ass,

Ngoja nkuambie nnayoyajua na nliyoyasoma

Hakuna nchi ngumu kwenda na kufanya kazi kama nchi za Canada,Uk na US visa zao ni ngumu sana kuzipata hasa working visa,you will struggle for the rest of your life but you won't make
No body can process for your permit while there are so many immigrants inside the country unless you have a special skills that are needed,what are those skills;

Architecture and civil engeeners
Narses and doctors
Marine and petroleum engeener
Airspace engeneer etc

Kwa upande was EU zone ni wagumu sana kutoa visa hasa za working visa coz kuna immigrants wengi sana waliopo ulaya kupitia Mediterranean sea and unahtaji mtaji kupata hiyo visa like; apart from your passport and your own staffs

Travel internary(flight&hotel) 60$
Visa cost 60€
Travel fund atlest 100€/per day
Travels insurance 82€

Na utapata visa tu kama intention yako ni utali au visiting you're spouses or relatives living in EU and you have to attouch those genuine and classified documents to verify you travelling intension

Kuzamia ulaya sio rahisi jipange angalau uwe hata na dollar 5000 kwenye account apart from those U mentioned above

Njia rahisi ya kufika ulaya na kuishi na kufanya kazi ni kueenda kama tourists and then to clame an asylum in the port of entry
Make sure you have a good story and you are afraid of returning to you native country that you fear persecution or being killed due to your race,religion, ,political and If you belong to LGTB by doing so,you will allowed to stay in schengen country for the rest of you life and later you will granted a citizenship award

Don't and never try to have those desperate journey to Europe through Mediterranean sea or Morocco route and don't use those fucking smugglers to facilitates your trip to EU-zone

Where exactly you have to start your journey to live abroad?

Kopa mkopo on the maximum,perhaps 20ml jenga kibanda chako cha 10ml then omba nafasi uende masomoni kwa njia halali then the last cash chukua visa ya miezi 3 kwenda Dubai kutafuta kazi wakati huo salary bado inaendelea kuingia

Dubai kazi zipo mingi sana,you will take any unskilled jobs like car washer,security, Waiter, barman,cleaner,etc salary zao ni kuanzia dollar 250-400 depending on your experience watakupa contract ya 3 years with free accomodation,transport and air ticketing to fly back to your home country

"Kafaras system "have been burned all over UAE so don't get nervous about that,

Mkataba wako utakapo isha utaamua mwenywe urudi bongo,ufanye top up ya loan yako usepe ulaya mazima au urudi dubai coz utakuwa nae pesa mingi za kutosha uachane na kazi za uncle Magu

Angalia na chunguza afya yako Fanya vipimo vyote, kwanza kabla ya kuanza kuomba visa au kwenda nchi yeyote usije jutia maamuzi yako.

Nakutakia mafanikio mema and that's my plan when my bank loan it will be over on 2022

"Changa karata zako vizuri"

Wish you all the best



Sent using Jamii Forums mobile app
asnte sana mkuu..umeongea vzur unaonekana unajua sna baadhi ya mambo

can we share contacts pm??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna jambo namshukuru mzee wangu ni kunipa exposure za nchi za watu 1999 kwa mara ya kwanza nimekwea pipa mpaka Amsterdam, then London then Frankfurt ikaja ikarudiwa tena 2002 route ni hio hio tangu kipindi hicho sijawahi kutaka kuzamia huko ughaibuni bongo hapa ni kama mamtoni chamsingi uwe na hela tu...
ndo tunaenda kuzisaka hizo hela mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Kanda ya Ziwa kuna samaki mmoja maarufu sana anaitwa Sangara. Samaki huyu ana mafuta mengi sana kiasi kwamba ukitaka kumkaanga, huhitaji mafuta, huwa anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe! Nadhani mpaka hapa unanielewa vizuri

Still, ukibahatika kupata kazi huko ughaibuni na ukawa na uhakika kabisa kuwa ipo, GO AHEAD, you will be very safe that way. Unatakiwa uende huko ukiwa tayari umeshapata kazi, na siyo kwenda kuanza kutafuta kazi upya.

By the way, hivi wewe huna hata habari kama kuna Corona, si ndiyo? Je uanayajua madhara ya Corona kwenye sekta ya ajira, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwemo ile ambayo unataka kukimbilia?
ndo maana nimekuja hapa ...ili nipate mawazo ya watu kama nyinyi mkuu

we endelea kutema madini...i am listerning

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom