Habari za mihangaiko ya maisha ya kila siku.
Nina mdogo wangu kapata vyuo viwili kwa elimu ya shahada, Mzumbe kapata public adminstration na IFM kapata insuarance .
Ushauri ni course gani asome yenye uhakika wa ajira hasa ukilinganisha na changamoto ya sasa tuliyonayo ya ajira?
Ushauri tafadhali