Ushauri tafadhali; aende Mzumbe au Insurance(IFM)

abdukarim

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
476
591
Habari za mihangaiko ya maisha ya kila siku.
Nina mdogo wangu kapata vyuo viwili kwa elimu ya shahada, Mzumbe kapata public adminstration na IFM kapata insuarance .

Ushauri ni course gani asome yenye uhakika wa ajira hasa ukilinganisha na changamoto ya sasa tuliyonayo ya ajira?
Ushauri tafadhali
 
Daaa nafuu apige BA kazi za insurance sijawi hata kuziona. Akipiga BA anaweza fiti kada zisizo pungua 10
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom