issue ya gesi mngewaachia cuf na wapiga kura wao maana huko kusini chadema hata ijipendekeze vipi ni ngumu sana kukubalika,cdm ijikite kuelezea itakachowafanyia watanzania sio kudandia dandia matukio huo ndio ushauri wangu anaenuna anune anaecheka acheke habari ndio hiyo bandugu wapendwa na pia mjipange safari hii kusimamisha wagombea ubunge kwenye kila eneo bunge ili kuonyesha kweli ni chama cha kitaifa sio kusimamisha wagombea kila jimbo huko kaskazini mwa tanzania mikoa ya kilimanjaro na arusha tu