Ushauri: Sitaki turudiane, nifanyeje?

mkuu ulimpenda kweli huyo? kama ulimpenda kuwa nae tuu, safar ya mahusiano ni ndefuu,
 
nimekusoma bosi...
asante sana
 
Kwani kuna sehemu kasema mrudiane au wewe mwenyewe ndio unajichetua kwake?
Kwa maelezo yako unasema mwenyewe wewe ndio ulianza kujipendekeza kwake na akaamua kukujibu tu huenda alihisi wewe ni kupe sasa dawa yako ni kukupiga vizinga, ukishamtumia sweta utamalizia na simu.
Usisahau kuwa wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…