mwiru jojo
Senior Member
- Feb 13, 2018
- 152
- 143
Badilii nambaa ya cm mzeeee
nimekusoma bosi...Anza kupunguza mawasiliano taratibu na pia usipende kumjibu kila sms anayokutumia. Km ni sms 4 mjibu 2 zingine mwambie nipo busy au nina kazi halafu mjibu short. Mfano. Mambo. Mjibu. P na kingine usianze kumtumia sms wala kumpigia simu.
Akikuambia nitumie zawadi wala usimjibu kwa ukali. Mwambie nitakutumia baadae au kesho. Kisha piga kimya. Akitumia sms nyingine saa ngap? Kaa kimya. Atatuma nyingine mwambie nipo busy.
Ikifika siku ya zawadi. Mwambie sina hela. Atakutumia sms za kulalamika. Usimjibu hata mmoja.
Kwa style hii yy mwenyew ataanza kupunguza mazoea na hatimaye ataacha kukufuatilia.
"siku zote ukimpenda mwanamke na ukamuonesha mapenzi ya dhati yenye uaminifu, amani na ukarimu. Huwa anaamini utaendelea kumpenda siku zote hata akikusaliti, kukuonesha dharau, kejeli na kiburi''
Ndiyo maana hata ukikutana naye miaka 5 mbele na hana mtu lazima akung'ang'anie sbb uona km ww ni mkombozi wake baada ya watu wa karibu aliowaamini kumkimbia''
Usijalinimekusoma bosi...
asante sana