Ww mpotezee kimya kimyamkuu jinsi gani sasa kuachana bila ugomvi
Anakufa na tai shingoni huyu mkuuTembeza kiatu mzee, watu wengine maumivu mnatakaga wenyewe
Mi sijasoma kwa kweli,naona uvivu ndio maana nimekuitaNipe muhtasari tafadhali...
Basi tusubiri watu wachangie... then tukisoma posts zao tutadandia juu kwa juu...Mi sijasoma kwa kweli,naona uvivu ndio maana nimekuita
mkuu jinsi gani sasa kuachana bila ugomvi
Anza kupunguza mawasiliano taratibu na pia usipende kumjibu kila sms anayokutumia. Km ni sms 4 mjibu 2 zingine mwambie nipo busy au nina kazi halafu mjibu short. Mfano. Mambo. Mjibu. P na kingine usianze kumtumia sms wala kumpigia simu.mkuu jinsi gani sasa kuachana bila ugomvi
mkuu umri uko wa kutosha tatizo hivi vitu havinaga umri....Itaafaa kama mkiwa mnaweka na umri wenu ili iwe rahisi kujua tunaowashauri wapo ktk hatua gani ya kubalehe.hii itasaidia sana ili kama ni ushauri upewe wa kitoto toto au wa kiutu uzima.
Labda nikuulize kitu,wewe hiyo kum-text "hi" ulikusudia akujibu nini!!!wewe ulishaachwa na ukiwa kama mwanaume ilitakiwa namba yake ufute toka siku ulipoona amekumbatiana na bwana mwezako.