Ushauri: Sina uzoefu wamapenzi nifanyaje?

Ushauri: Sina uzoefu wamapenzi nifanyaje?

kazoa78

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
10
Reaction score
8
Habari za asubuhi,

Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako vizuri.Sasa hayo majukumu wakaka mnayotarajiwa kufanyiwa ni yapi? Naomba kujuzwa wakuu.

N.B: Ukweli nampenda ila katika mapenzi sio mzoefu sana

Naombeni mawazo yenu sasa sitaki kumpoteza tena
 
Nakushauri utafute kamasutra series ucheki itakupa ujuzi sana then uwe mchangamfu kitandani i mean ushirikiano unaitajika sana
 
Wewe uko vizuri kitandani kiasi gani? Sikia binti kwanza anza na wewe mwenyewe jee anaridhika na michezo yako? Sababu kuona ile kitu kutoka kwa mwanamme sio kua eti ameridhika au wewe hidari apana, na pia kua muwazi nae mweleze nini unapenda chumbani na nini anapenda umfanyie mkiwa uwaja huo...
 
MAJUKUMU?????
1. labda kupika?
2. au kumfulia nguo?
3. mie sijui, labda kudeki....
4. yaweza kuwa anataka uwe unaenda sokoni daily ilhali we ni mvivu wa kutembea..
5. may be anataka usimamie vema biashara zake...

nachoka kuguesss.... go back kamuulize ili ukija uombe msaada wa kinachoeleweka...
 
umetuletea suali gumu, kwa nini usimuulize yey. sisi hatuna uwezo wa kusoma akili za mtu
 
[COLOR=#0000ff said:
ufanye majukumu yako vizuri.[/COLOR]
kufanyiwa ni yapi??

HAPA KAZI IPO..UMESAINIJE MKATABA BILA KUUSOMA??..yale yale ya ''serikali sikivu''
Umenikumbusha movie ya jackie chan ''spy next door'...aliachiwa watoto na jirani yake akaambiwa watoto wanapenda haloween,,naye kujifanya anajua akajibu''haloween is my favourite''.

Baadaye ikabidi tu ampigie rafiki yake amuulize nini maana ya ''haloween''..back to topic''-wanaume si kama fisi kwamba wote wana tabia na vipaumbele sawa,cha msingi kaa naye umuulize kipi anafurahia toka kwako na mambo yapi hasa anategemea toka kwako..
 
Nadhani hilo swali huwezi kupata jibu kamili huku, Ingekuwa vyema kama ungemuuliza MUHUSIKA.
 
Muhusika ndio ana majibu sahihi zaidi, wengine tutahisi tu. mwishowe tukwambie ukamlambe TAKO si ndo utapigwa risasi ya uso kabisa
 
Habari za asubuhi,

Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako vizuri.Sasa hayo majukumu wakaka mnayotarajiwa kufanyiwa ni yapi? Naomba kujuzwa wakuu.

N.B: Ukweli nampenda ila katika mapenzi sio mzoefu sana

Naombeni mawazo yenu sasa sitaki kumpoteza tena

Basically wanaume huwa tunahitaji the same things toka kwa wadada..I am not boasting lakini I am a quick learner

sasa fanya hivi..come to me and in less that a week nitakuwa nimejifunza sehemu gani kwako zinahitaji maboresho..success guaranteed..ikishindikana nakurudishia week yako kwa kuja kwako wiki nzima...fair deal, right?
 
Inaonekana ulikua unabania sana mchezo,kwa hiyo anataka ujue wajibu wako usimbanie tena,akitaka tu unampa. huo ndio msingi wa mahusiano yenu vinginevyo atakua kaka yako.
 
Huyo mwanamume atakusumbua kwa uzoefu wangu mapenzi hayana mashart free game na inaonyesha unamuogopa sana yaani unaona ukimuuliza muuliza maswali atakuacha mapenzi hayaendi hivyo na hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu muulize kwa kina bila woga nini Anataka ufanye na mimi kwa uzoefu wangu kama mwanamke hajui chochote kitandani mwanamume anamqelekeza Bali Hilo la kusema majukumu mi naona anaongelea swala la kupika kufua na jinsi ya kumuhanlde kama mume unaonekana ukuwa naye huwa umjali japo kumtengea chakula au kumfanyia vitu haisi kweli nimepata mwanamke anayejua majukumu yake yaani jinsi ya kumuhandle ni hayo tu jikague
 
Katika mambo ambayo yana ladha tofauti ni mapenzi.. Ninachokipenda mie obviously mwingine hapendi.. Pointi yangu kubwa hapa ni kwamba hapa huwezi kupata kile unachotaka.. Ukitaka kufurahia mapenzi ni kukaa na mwenzio na kuongea openly about mapenzi.. Fanya hivyo na mtajikuta mnafurahia sote na haya mambo ya uzoefu wala hamtayasikiwa..
 
Back
Top Bottom