Ushauri: Sina uzoefu wamapenzi nifanyaje?

Ushauri: Sina uzoefu wamapenzi nifanyaje?

Habari za asubuhi,

Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako vizuri.Sasa hayo majukumu wakaka mnayotarajiwa kufanyiwa ni yapi? Naomba kujuzwa wakuu.

N.B: Ukweli nampenda ila katika mapenzi sio mzoefu sana

Naombeni mawazo yenu sasa sitaki kumpoteza tena

Njoo huku PM nikupe uzoefu
 
Tena ampe kwa style ya avatar yako. Ha ha ha ha ha !
 
Huyo mwanamume atakusumbua kwa uzoefu wangu mapenzi hayana mashart free game na inaonyesha unamuogopa sana yaani unaona ukimuuliza muuliza maswali atakuacha mapenzi hayaendi hivyo na hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu muulize kwa kina bila woga nini Anataka ufanye na mimi kwa uzoefu wangu kama mwanamke hajui chochote kitandani mwanamume anamqelekeza Bali Hilo la kusema majukumu mi naona anaongelea swala la kupika kufua na jinsi ya kumuhanlde kama mume unaonekana ukuwa naye huwa umjali japo kumtengea chakula au kumfanyia vitu haisi kweli nimepata mwanamke anayejua majukumu yake yaani jinsi ya kumuhandle ni hayo tu jikague

Uko sahihi, wanawake wanashindwa kuelewa kwamba kuna wakat anatakiwa wa"act" km wanawake hasa, haimaanishi kila unapoenda kwa mshkaji upike ama ufue, but jaribu mara chache kufanya hivyo tena bila yeye (jamaa) kuomba. sio unakuja geto kwangu kuna kila kitu, nikikuuliza tunakula nn we unajibu tukachkue take away, pambaf
 
Angalia usije ukazoa la 79 kama la 78 tu limekushinda.
 
Majukumu yako wewe kama wewe ni yapi? Anzia hapo
 
Habari za asubuhi,

Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako vizuri.Sasa hayo majukumu wakaka mnayotarajiwa kufanyiwa ni yapi? Naomba kujuzwa wakuu.

N.B: Ukweli nampenda ila katika mapenzi sio mzoefu sana

Naombeni mawazo yenu sasa sitaki kumpoteza tena

majukumu gani, kwani amekuoa?
 
Sasa nyinyi mtu mnampa ushauri lakini yeye hata kujibu ni shidaaa sasa nyinyi mpaka hapo hamjajifunza kitu kuwa huyo binti ni mjeuri
 
Habari za asubuhi,

Naombeni ushauri juu ya hili nilikuwa na mkaka tuliachana kila mtu akaendelea na yake ila sasa kila mtu anataka uhusiano urudi. Lakini akasema sasa inabidi ufanye majukumu yako vizuri.Sasa hayo majukumu wakaka mnayotarajiwa kufanyiwa ni yapi? Naomba kujuzwa wakuu.

N.B: Ukweli nampenda ila katika mapenzi sio mzoefu sana

Naombeni mawazo yenu sasa sitaki kumpoteza tena

Ungemuuliza Yeye Anataka Utekeleze Majukumu Gani Ungekua Umefanya Jambo La Maana Sana Kuliko Kutuuliza Sisi.Inawezekana Wala Haitaji Uwe Fundi Sana Katika Mapenzi.Pengine Anataka Uwe Msafi Tu.Labda Unazembea Katika Nyanja Iyo.Kwahiyo Jibu La Swali Lako Linamtegemea Sana Muhusika Mwenyewe.
 
Back
Top Bottom