miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 651
Asante dia karibuPole dear ngoja wajuzi waje niko seat ya mbele
Abee mdogo wangu 🙈Mkuu Glenn kataja hapo juu, kwa kuongezea:
1. Unatabia ya kukaa naked sana mkiwa ndani wawili tu. Yaani unakua na chupi tu? Jitahidi uwe unavaa muda wote nguo mfano Tshirt kubwa, unaacha mapaja tu, khanga flani, dera, etc ila usishindie kyupi tu, anakinai.
2. Anzisha kitu taratibu. Mfano unamfanyia massage, unamnyoa nywele za kwenye sirini, unamkata kucha, unamuosha miguu, etc ivyo vitu vidogo vinaamsha hamasa.
3. Usisubiri mwende kitandani ndio umuanze. Na usisubiri ifike saa 4 usiku kila siku ndio muanze. Kua creative, unamwambia ukamuogeshe, amekaa kwenye kochi unaenda kulala kwenye mapaja yake, etc.
4. Mwangalie usoni. Aisee tunapenda sana kuangaliwa usoni sio mchezo.
Ngoja niishie hapo. Mstari wa chini ni nje ya Mada.
Vijana tusioe, tusubiri hali itulie.
Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa1. Hali yake kimaisha iko sawa au imeshuka....ukame huondoa nyege hasa uliyezowa kushika pesa ndefu.....naongea kwa uzoefu.
2. Biashara zimemnyookea?
3. Yuko busy na simu?
4. Anachelewa kurudi?
5. Unamkoromea? Au mnalumbanaga?
Kuna nyuzi ukiona nipo wewe usiingie. Tutashindwa kuangaliana kesho.. 🤣🤣🤣Abee mdogo wangu 🙈
Tuna mtoto mmoja msaidizi nilishapata ndo tuko nae ananisaidia saidiaUshapata msaidizi Madam. Mna watoto?
Ya kesho yatajisumbukia yenyewe,, ukilala ukiamka yatabadilika….Kuna nyuzi ukiona nipo wewe usiingie. Tutashindwa kuangaliana kesho.. 🤣🤣🤣
Ngoja vijana waje..Ya kesho yatajisumbukia yenyewe,, ukilala ukiamka yatabadilika….
Sema kuna point moja nimeibeba bana 😂😂
Tiririkeni,, OP na sisi wengine tupate desa
Nipambane wapi hapa nimejiweka kimtego mtego Ila mwenzangu hata hategeki ndo kwanza yuko bze anacheza na mtoto natamani hata nikachukue maji ya baridi nimmwagie pengine akili itamkaa sawa inakera kwakweli hapa nawazaa kwanzia kesho nianze kulala na jinsi maana naona najitesa tu na baridi mwenzangu hana habariNaona unapambania haki yako hutokei kujibu maswali...pambana upewe hata kimoja