Kweli kuna mismatch katika interest.
Kuna watu humu they need a business partner kuliko mpenzi
Kuna watu wanataka mpenzi kuliko bussiness partner.
Like you, sasa hufurahishwi unafikia hatua hata ya kumuacha. Ukimuacha ukipata mwingine utakuta mzuri kwa bed, kiuno feni but in other areas kama kwenye biashara anakupa loss, mchafu, maybe hana haiba nzuri.
Nafikiri, tunatakiwa tujenge tabia ya kuridhika na wapenzi/ wake zetu tunaowapata. Tuchukulie stregth zao kama blessings tushukuru, na pia tuchukulie udhaifu wao kama chachu ya mabadiliko katika maisha yenu.
Naamini, hakuna raha nzuri kama kufikia hatua umeridhika na mtu, na kuamua ku devote time na akili yako kumbadilisha na yeye kubadilika. Inapendeza
All in all, mapenzi hufundishwa, mfundishe...! It takes time, inahitaji uvumilivu, na moyo na juhudi. Jaribu kutumia vitabu vya kamasutra na video zake one day you will enjoy.
Kuchepuka ni ujinga, acha. Hamna faida zaidi unaweza kumletea magonjwa tuu huyo mpnz wako.