Ushauri: Serikali iunde mashine ya ku-scan kadi ya bima ya afya

Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
14
45
Kwa kipindi kirefu sasa katika sekta ya afya kunauhitaji wa maboresho mengi. Mimi kuna kero ambayo imenipelekea kuja na wazo hili.

Ukienda hospitali nyingi aidha za serikali (Government hospitals) au za binafsi (Private hospitals) pale mapokezi kwa watumiaji wa bima tunakaa sanaa kwenye foleni kusubiria kumfikia nesi au secretary ili achukue kadi yako, aingize taarifa zako kwenye komputer amalize ndo akuambie uende kwa daktari gani. Sasa hili swala naona linatumia muda mrefu sana.

Ushauri wangu kwa serikali ni kutengeneza mashine ambazo zitakuwa na uwezo wa kuskana ( kuscan) kadi ya bima upande wenye ID number (Identity number) ambayo kila mgonjwa inapaswa awe nayo ya peke yake ( kama ilivyo kwenye NIDA) halafu kadi ikishaskaniwa itoe taarifa za mgonjwa usika ( jina, tarehe ya kuzaliwa, uraia wake, namba ya simu, passport ya mgonjwa nk) hii itapunguza foleni za wagonjwa kusubiriana kufika mapokezi .

Pia, itakuza teknologia ya nchi, pato la nchi, udanganyifu wa namna yoyote kwakuwa ile ID (identity number) haiwezi kuficha chochote taarifa zote hadi mara ya mwisho hiyo kardi ilivyotumika itaonesha.

Asanteni.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,951
2,000

Hakuna haja ya kutengeneza zipo ila wanatengeneza mazingira ya urasimu kwa manufaa yao binafsi
 
Nyamgluu

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
3,151
2,000
Wazo zuri. Ila kwa serikali ya sasa mpaka hili litekelezwe sijui. Nafikiri haiwezekani.
Mods pelekeni thread ya Wizara ya Afya
 
Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
14
45
Hakuna litakalo shindikana sema serikali inapaswa kuwekeza nguvu zaidi kwenye sekta ya Afya imedorora sanaa
 
Wapakate

JF-Expert Member
Jun 3, 2020
212
1,000
Kwa kipindi kirefu sasa katika sekta ya afya kunauhitaji wa maboresho mengi. Mimi kuna kero ambayo imenipelekea kuja na wazo hili.

Ukienda hospitali nyingi aidha za serikali (Government hospitals) au za binafsi (Private hospitals) pale mapokezi kwa watumiaji wa bima tunakaa sanaa kwenye foleni kusubiria kumfikia nesi au secretary ili achukue kadi yako, aingize taarifa zako kwenye komputer amalize ndo akuambie uende kwa daktari gani. Sasa hili swala naona linatumia muda mrefu sana.

Ushauri wangu kwa serikali ni kutengeneza mashine ambazo zitakuwa na uwezo wa kuskana ( kuscan) kadi ya bima upande wenye ID number (Identity number) ambayo kila mgonjwa inapaswa awe nayo ya peke yake ( kama ilivyo kwenye NIDA) halafu kadi ikishaskaniwa itoe taarifa za mgonjwa usika ( jina, tarehe ya kuzaliwa, uraia wake, namba ya simu, passport ya mgonjwa nk) hii itapunguza foleni za wagonjwa kusubiriana kufika mapokezi .

Pia, itakuza teknologia ya nchi, pato la nchi, udanganyifu wa namna yoyote kwakuwa ile ID (identity number) haiwezi kuficha chochote taarifa zote hadi mara ya mwisho hiyo kardi ilivyotumika itaonesha.

Asanteni.
vipi hata bila card waweke camera halafu facial recog iitafute bima
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,112

Ni sawa lakini wakiruhusu hivyo!!kadi nyingi zitatumiwa na wasio wenye kadi hizo!!kwani lengo lao wanataka kadi itumiwe na muhusika tu, na ndio maana kwenye madawati hayo huwa licha ya kuingiza hizo records huwa pia wanajiridhisha kuwa wewe ndio mwenye kadi hiyo?lakini ikiwa ni kuscan tu na kuingia kwa Dr.linaweza kuwa chaka, japo hata sasa kuna watu wanatumia kadi sio zao na wanapata matibabu.
 
Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
14
45
Inawezekana kuepuka swala la kadi mmoja kutumika na watu wengi, mashine moja inaboreshwa kuwekea system mbili kuscan kadi na kuscan dole gumba baada ya hapo kwenye kompyuta taarifa zako zitaonekana.
 
Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
14
45
Ndugu au mtu wa karibu wa mgonjwa ataliriport hilo swala hospitali ambapo mgonjwa atapatiwa huduma halafu madktari wataingiza hizo taarifa za mgonjwa kwa mfumo kama unaotumika sasahivi...Kutumia dole gumba haimaanishi kama huna mkono ndo kadi haitatumika hapana bali inatatua changamoto la kukaa kwenye foleni muda mrefu.
 
Divine_lady

Member
Jul 19, 2021
14
45
Ndugu au mtu wa karibu wa mgonjwa ataliriport hilo swala hospitali ambapo mgonjwa atapatiwa huduma halafu madktari wataingiza hizo taarifa za mgonjwa kwa mfumo kama unaotumika sasahivi...Kutumia dole gumba haimaanishi kama huna mkono ndo kadi haitatumika hapana bali inatatua changamoto la kukaa kwenye foleni muda mrefu
vipi hata bila card waweke camera halafu facial

vipi hata bila card waweke camera halafu facial recog iitafute bima
Kwa identical twins itawachanganya, pia watu hupadilika maumbile mfano; mwanamke kajichubua halafu kwenye kadi yake alipiga picha akiwa mweusi, halafu kuna baadhi ya watu wanafanana japo sio ndugu inaweza ikagoma kutoa taarifa za mgonjwa husika. Ila alama ya dole gumba haifanani kabisa kila mtu anayake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom