and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
Linaitwa hali ya ndoa, lipoKutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
Asante kwa taarifa. Maana single parents ni kama wanashindana Mjini. Binti anajiachia tu baada ya muda unaona WhatsApp status za malalamiko na vijembeLinaitwa hali ya ndoa, lipo