Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
2,106
Reaction score
2,789
Salama wakuu.

Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba.

Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka.

Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua.

Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
 
Hapa utapaka ushauri wa rangi nyingi tu,na kwavile swali lako limetaka kujua rangi gani ''Patakaa murua" na sio kitaalamu,

Mkuu,pakaa rangi itakayo kupendeza wewe coz hii ni issue ya Self-satisfaction,sio kila rangi itapendwa na kila mtu au kuchukiwa na kila mtu,hatufanani,

True satisfaction comes from within.
 
Akili ikiwa tegemezi ni janga

We una njaa na una hamu ya kula.!

Unaanzaje kuuliza msukuma lunch yake wakati wewe ni mwanaume wa Dar.!

Wewe kiasili ni mtu kiepe yai na inaenda hiyoo, halafu unaomba Ushauri kwa mtu wa 2 in one.! 😎

Akikushuri kula nguna saa tano kuskip mambo mengi na dinner kwa wakati atakaoamua yeye utamuita mshamba.!

Hebu tuacheni tupumue kidogo hata wikiend jombaa mnachosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…