Mbona alivyotolewa Mbowe ulishangilia?Sijaona nchi ya kijinga kama hii. Yaani sheria inakuwa utashi wa mtu
Tunywe tu bia na tule sana nyama, tunaishi ili tufeWatanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.
Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.
Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.
Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
Hakua mfungwaMbona alivyotolewa Mbowe ulishangilia?
Kwani Sabaya alifungwa lini?Hakua mfungwa
NAUNGA MKONO HOJA !!!!!!!!! TENA HATA BUDGET YA MAGEREZA ITAPUNGUA SANA !!!Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.
Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.
Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.
Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
Wengi sana wenye kesi za kusingiziwa hii nchi Kuna mambo yanasikitisha sanaNdicho nilichosema kwenye ule uzi, watolewe wote na tuanze upya. Kila kitu siasa hii nchi, kuna watu wana kesi za kusingiziwa, mnawaacha mnakuja kulitoa hilo lenye sura la jambazi.
Team gaidi mtakula padaka kwa maumivu sanaSijaona nchi ya kijinga kama hii. Yaani sheria inakuwa utashi wa mtu
Kaeeni kwa kutulia,Ndicho nilichosema kwenye ule uzi, watolewe wote na tuanze upya. Kila kitu siasa hii nchi, kuna watu wana kesi za kusingiziwa, mnawaacha mnakuja kulitoa hilo lenye sura la jambazi.
Acha kuingilia uhuru wa taasisi.Uhuni wangu ni upi mkuu
Ni kweli kuna watu wanaozoea magerezani simply wamekosa watetezi licha ya kwamba wapo wanaosota kwani ni stahili yao hao waache wasote ila wale waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa upembuzi ufanywe watolewe magerezani tulishuhudia watu wengi wakisingiziwa kesi huko nyuma eti tu kwa kushindwa kuunga juhudiNAUNGA MKONO HOJA !!!!!!!!! TENA HATA BUDGET YA MAGEREZA ITAPUNGUA SANA !!!
Watu watakua wengi sana uraiani na pia askari magereza watakosa kaziWatanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.