Nadhani tusingekuwa na viongozi wanaosimama na kujibu. Kijana ambaye hajapata mkopo labda ni raia wa kenya ama asiyetaka tozo ahamie burundi. OVYO kabisa, tunahangaika na vijana wanaoona bora wasifie tu ilimradi waonekane wapate teuzi kuendeleza mfumo wa kijinga.Hilo la kuwajengea uwezo watu ndani ya vyama ili wawe viongozi bora nakubaliana nawe kabisa. Suala hili tulishalizungumzia sana kwamba; kwa mtu kujiunga na chama, hilo pekee halimsababishi awe kiongozi bora , bali ni lazima pawe na namna ya kumjengea uwezo kwa nguvu kubwa ili akipata nafasi ya kuwa kiongozi awe kiongozi wa maana.
Kwa bahati mbaya jambo hii halijawahi kuchukukiwa kwa uzito unnaostahili na chama chochote nchini.
Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.Acha kupuuza mamlaka alikuwa nayo Rais. Usifanye aonekane Sanamu.
Mimi sizungumzii ndani ya chama mazee. Nasemea viongozi wanaopatika kutuongoza. Hayo ya vyama tuachie kila chama kinavyoona kwani tukiwa na mfumo mzuri, chama kikizembea basi kitakufa kifo cha mende chenyewe. Kwa mfano wewe unaweza kuwa na mawazo kuwa ''hakuna chama mbadala kwa CCM sasa hivi'' lakini wananchi wakaamua vingine. Mimi nia yangu ni kutaka tuwe na mfumo mzuri wenye ushindani na hayo ya kusema ''hakuna chama mbadala'' yataamuliwa na wananchi.Hilo la kuwajengea uwezo watu ndani ya vyama ili wawe viongozi bora nakubaliana nawe kabisa. Suala hili tulishalizungumzia sana kwamba; kwa mtu kujiunga na chama, hilo pekee halimsababishi awe kiongozi bora , bali ni lazima pawe na namna ya kumjengea uwezo kwa nguvu kubwa ili akipata nafasi ya kuwa kiongozi awe kiongozi wa maana.
Kwa bahati mbaya jambo hii halijawahi kuchukukiwa kwa uzito unnaostahili na chama chochote nchini.
Nasema kwa kuwa ninaishi na kukutana na watanzania wengi tu huku mtaani kwangu ambako watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu na wanaridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watu hasa wanyongeJisemee wewe siyo uweke sisi wananchi, yeye siyo mwananchi? Ulipewa mamlaka hayo na nani uwe msemaji wa wananchi?
Mazee kwa nini unashindwa kuona logic iliyo kwenye hoja? Rais mzuri pekee hawezi kuwa suluhisho, wala katiba nzuri pekee haiwezi kuwa suluhisho bali ni mwanzo mzuri wa kuikwamua hiyo jamii. Ni lazima tuwe na sehemu ya kuanzia.Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.
Kazi ya kiongozi ni kutengeneza misingi na mifumo then kila mtu apambane kwa nafasi yake.
Atapumzika 2035 Wala usijari.Mpuuzi kazini.
Mama apumzike tu 2025 atatua na tozo.
Utakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.Nasema kwa kuwa ninaishi na kukutana na watanzania wengi tu huku mtaani kwangu ambako watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu na wanaridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watu hasa wanyonge
Unakaa ulaya? Wewe utakuwa mtu wa kusoma na sio practices.Kwa hiyo unaamini kwa Rais kuwa mzuri hilo peke yake linatosha hata kama jamii ikiwa inazingua kama ilivyo sasa? By the way moja ya tatizo kubwa linalotusumbua waanzania, ni kudhani kuna mtu mmoja ambaye yuko mahali ambaye yeye ndio yuko accountable kwa kila kitu ikiwemo maisha yetu mtu mmoja mmoja. Hivyo chochote kinachotutokea, huyo ndio wa kulaumiwa. Hili ni tatizo.
Kazi ya kiongozi ni kutengeneza misingi na mifumo then kila mtu apambane kwa nafasi yake.
Maisha magumu isipokuwa kwa walamba asali kama weweHujasikia utafiti wa twaweza, sisi tumekubali kulipa maana tunachohitaji Ni maendeleo na katika Hilo tunampongeza Sana mh Rais wetu mpendwa maana tunayaona matunda ya tozo zetu kwa kuwa tunaona miradi mbalimbali ikijengwa kutokanaa na tozo zetu, mama tunaendelea kumuunga mkono Sana tu na bado Tunamuhitaji ili aendelee kutuongoza watanzania
Hata hivyo mama atawanyoosha tuu subiria apate mrejesho wa namna ya kuboresha utendaji Kazi wa Public service na Vyombo vya dola..Shida sio Mama Samia, uwezo mdogo wa fikra kwa 90% ya watendaji ndani ya serikali.
President, ni head of state aliyezungungwa na watu ambao wanapaswa kuwa wabobezi katika kila nyanja ili kwa pamoja nyaya zikiungwa ndio unaoana Taifa linaendelea.
Sytema iliyopo inavuta kokoro lenye kila aina ya wapumbavu ambao mwisho wa siku kazi yao nikuhakikisha wanaendelea kuexist karne na karne, ukijaribu kuishi kwa kufuata taratibu za kisomi watu hawa huwezi kuwaweza.
INATAKIWA CHIZI MMOJA AMBAYE HATOJALI WALA KUSIKIA LA MTU KUSAMBARATISHA WAJINGA WOTE KILA MAHALA KWENYE MIFUMO.
Labda km analo agano na Mungu.Atapumzika 2035 Wala usijari.
Tulia dozi ikuingie,kwani Mungu ni WA chadomo na sukuma gang pekee? 😆😆Labda km analo agano na Mungu.
Sasa ukisema huna shida na vyama wakati viongozi ni zao la vyama, ni sawa na kusema huna shida na mbegu, wewe unataka mazao tu.Mimi sizungumzii ndani ya chama mazee. Nasemea viongozi wanaopatika kutuongoza. Hayo ya vyama tuachie kila chama kinavyoona kwani tukiwa na mfumo mzuri, chama kikizembea basi kitakufa kifo cha mende chenyewe. Kwa mfano wewe unaweza kuwa na mawazo kuwa ''hakuna chama mbadala kwa CCM sasa hivi'' lakini wananchi wakaamua vingine. Mimi nia yangu ni kutaka tuwe na mfumo mzuri wenye ushindani na hayo ya kusema ''hakuna chama mbadala'' yataamuliwa na wananchi.
Watanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanaoUtakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.
Mazee kwa nini unashindwa kuona logic iliyo kwenye hoja? Rais mzuri pekee hawezi kuwa suluhisho, wala katiba nzuri pekee haiwezi kuwa suluhisho bali ni mwanzo mzuri wa kuikwamua hiyo jamii. Ni lazima tuwe na sehemu ya kuanzi
Atakuwa too late. 2023 hyo hapo, wananchi michosho sana siku hz, usilolijua ni sawa na usku wa giza. Kila ovu lina mwisho wake, rafu zilizofanikiwa zote usidhani kila mwaka wa uchaguzi ztafanikiwa. Yajayo yatahuzunishaHata hivyo mama atawanyoosha tuu subiria apate mrejesho wa namna ya kuboresha utendaji Kazi wa Public service na Vyombo vya dola..
Mama ameshasema atakata bil.500 zinazopotea kwa uncessary expenditure na Amesema atafuta mashirika na kuunganisha mengine..
So systems are working wewe subiria mda utapata majibu tuu..