Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,220
- 44,194
kama kitu gani unakipata kwenye ps3 kwenye 360 ulikikosa?Personal nilianza kwenye xbox, nikaja xbox 360 ila nilivojaribu PSP mbio kununua ps3 tangu hapo xbox naona wanajaribu tuu hawafiki ninakotaka
mkuu nimeingilia butkama kitu gani unakipata kwenye ps3 kwenye 360 ulikikosa?
Nadhani mwanzo nilikua more attracted na Ui ya sony hasa baada ya kuhamia kwenye PSP na baada ya kucheza PS3 kidogo nijajikuta naloose interest with xbox kabisaa.kama kitu gani unakipata kwenye ps3 kwenye 360 ulikikosa?
Yea only For sony consoles izo but with me haikua sababu kubwa io. Mwanzo nilivutiwa na UI (user interface) lakini badae nukawa tu its more of a choice basing on not much to buck it up (mazoea)mkuu nimeingilia but
kweye ps3 utaenjoy ps exclusives nyingi kama God Of war,Last us us,Ucharted n nyingine nying.
hata xbox lina exclusive zake kama forza, Halo, gears of wars, mass effect, fable etc na game kama halo limeongoza kwa mauzo almost kila mwaka likitoka.mkuu nimeingilia but
kweye ps3 utaenjoy ps exclusives nyingi kama God Of war,Last us us,Ucharted n nyingine nying.
fair enough, mi pia ni mpenzi wa psp sana,Nadhani mwanzo nilikua more attracted na Ui ya sony hasa baada ya kuhamia kwenye PSP na baada ya kucheza PS3 kidogo nijajikuta naloose interest with xbox kabisaa.
Yea nakumbuka kwa Benson arusha walikula sana 80,000 zangu kununua UMD.fair enough, mi pia ni mpenzi wa psp sana,
hii kitu its not guarantee ukidownload haiingii full version na ni rahisi sana kubaniwa ip yako ka wacheza onlinehata wazungu nadhani bado hawajajua ila kuna wa brazili ndo wananjia yao inaitwa ps4 dump flash technique
pia unawezakudownload free full games ktk ps3/4 kwa kubonyeza combo buttons ktk magemu yote yenye demo
hivyo utalitoa game kwenye demo kwenda full version free zero cost
tayari kariakoo watu wana jailbreakVipi wakuu..hivi kibongobongo wadau wameshaweza ku-jailbreak ps4!?..
Nipe maujanja mkuu..tayari kariakoo watu wana jailbreak
Vipi mkuu una cd za ps4 na pad tufanye biashara?Sitaki kutangaza biashara ila naomba nitumie Fursa kama ilivo ada.
Mleta uzi mimi nina ps4 mbili. Moja slim na moja ya kawaida
Iwapo ukiamua kununua ps4 njoo kwangu bei nzuri tu.
TayariVipi wakuu..hivi kibongobongo wadau wameshaweza ku-jailbreak ps4!?..
Hivi kati ya PS VITA na ile nintendo, ipi nzuri zaidi?350 maximum. Kuna wahuni wanauza mpaka laki saba ila thats overatted
Naomba kufahamu bei ya ps3 na ps4
Natanguliza shukrani
Samahani kaka ps4 bado unayo?Sitaki kutangaza biashara ila naomba nitumie Fursa kama ilivo ada.
Mleta uzi mimi nina ps4 mbili. Moja slim na moja ya kawaida
Iwapo ukiamua kununua ps4 njoo kwangu bei nzuri tu.