Ziko tayari zinasubiri marubani wakasome ndio zije,Kwani ndege zishakuja?
ziko tayari zinasubiri marubani wakasome ndio zije,
Halafu marubani huwa trained kwa "set" au "pair"....Sasa ukichukuwa watano,watukuwa (2-2-1) huyu mwingine atarusha na nani?Q400 siyo Cockpit ya aina ya ndege kama Cesna 206 (C206)...kwamba mtu anaweza ku-Command akiwa peke yake tu...This needs a pair of Pilot in Command and First Officerziko tayari zinasubiri marubani wakasome ndio zije,
Prof. Mbarawa najua JPM hakukosea kukupa hiyo nafasi, nashauri hao marubani watano watakaoenda masomoni wanatosha, badala yake chukua marubani kutoka jeshini kwanza hii itasaidia hawa wanajeshi kuwa na uzoefu kwani muda mwingi watautumia kurusha ndege ukilinganisha na jeshini ambao muda mwingi wanarelax.
Pili, katika hali hii ya ugaidi tunahitaji air Marshall ambao hao marubani watafanyakazi kama marubani na walinzi wa ndani ya ndege, tuliwahi shuhudia nshomile mmoja aling'ang'ania kukaa mlangoni ndege ilibidi irudi chini kuita polisi, wangekuwemo wajeda ndani ya ndege angebananishwa hukohuko juu.
Tatu, wanajeshi ni jasiri wakati wa uokoaji ikitokea dharura na wana nidhamu ya hali ya juu, tofauti na hivyo vibabu vinavyopigiwa upatu humu, naimani tukifanya hivi tutakuwa na shirika bora kabisa.
kwani hawawezi badilishana? au wanakuwa kama maksai, anayekaa kushoto ukimuweka kulia anapotea njia?Halafu marubani huwa trained kwa "set" au "pair"....Sasa ukichukuwa watano,watukuwa (2-2-1) huyu mwingine atarusha na nani?Q400 siyo Cockpit ya aina ya ndege kama Cesna 206 (C206)...kwamba mtu anaweza ku-Command akiwa peke yake tu...This needs a pair of Pilot in Command and First Officer
Ile ndege ya msuguli ilianguka bukoba, tunazo ndege za kisasa kuliko hizo daladala Q400 alinunua JK, tutumie marubani haohao, kwanza wana weledi kuliko hivyo vibabu.Umewahi kupanda lile dege la jeshi hata kwa kupewa lift?Umewahi ona "nidhamu" ya uendeshaji wa "Military Aircrafts" na "Civil Aircrafts".
Umewahi ona "short take off" ya zile ndege za Jeshi na "Short landing" zake!?Mazoea hujenga Tabia.Ukiwapa hawa Military Pilots hata uwape training ya "Customer care" kwa kiasi gani,lazima abiria wakimbia ndege za hiyo kampuni.
Hawa akili zao sio kupakia abiria,bali "wanajeshi"...ndio maana lile dege lao ndani halina viti ila mabenchi tu,nyanyuka yao hewani ni kama wamebeba nyanya na vitunguu,tuwa yao ni kama ndani ya ndege wana kuku vibudu waliokufa wakati wana abiria.
Customer Care kwenye usafiri wa anga ni pamoja na raha na utamu wakati wa kutuwa na kupaa!wanaita "Smooth Landing" au "Kissing of the fore landing gear",sio unatuwa kwa kubamiza kama umebeba magari ya rais.Unafika chini nusu ya abiria wametapika na robo wana mshituko wa moyo,niliwahi safiri na shirika fulani la ndege hapa bongo,wakati wa kutuwa jinsi ndege ilivyojibamiza Mama mmoja akajuwa tayari kimenuka,kwa mshituko ule pale pale tulimfunika shuka la kwenda mochwari,lkn yote haya ni utuwaji wa rubani.
Hawa Wanajeshi acha wasafirishe tu kile kiti cha Rais kwenye ziara za mikoani na magari yake,huku kwenye Biashara yetu ya ATCL TUWAACHIE MARUBANI RAIA!!Yaani mwanajeshi unafikiri anaweza sema "Dear customer...we are in final Approach"....."Dear" kwa rubani ni neno lililo mbali ktk misamiati yake
sijui siku ya ukuta tuandamane tukavitoe hapo jengone kwa mijeledi,Mimi ningekuwa ni mfanyakazi wa ATCL ningetafuta kazi ya kufanya
Jeshi ni Jeshi na Uraiani ni Uraiani PeriodProf. Mbarawa najua JPM hakukosea kukupa hiyo nafasi, nashauri hao marubani watano watakaoenda masomoni wanatosha, badala yake chukua marubani kutoka jeshini kwanza hii itasaidia hawa wanajeshi kuwa na uzoefu kwani muda mwingi watautumia kurusha ndege ukilinganisha na jeshini ambao muda mwingi wanarelax.
Pili, katika hali hii ya ugaidi tunahitaji air Marshall ambao hao marubani watafanyakazi kama marubani na walinzi wa ndani ya ndege, tuliwahi shuhudia nshomile mmoja aling'ang'ania kukaa mlangoni ndege ilibidi irudi chini kuita polisi, wangekuwemo wajeda ndani ya ndege angebananishwa hukohuko juu.
Tatu, wanajeshi ni jasiri wakati wa uokoaji ikitokea dharura na wana nidhamu ya hali ya juu, tofauti na hivyo vibabu vinavyopigiwa upatu humu, naimani tukifanya hivi tutakuwa na shirika bora kabisa.
na Air Marshall vitakuwa hivyohivyo vibabu?Jeshi ni Jeshi na Uraiani ni Uraiani Period
Mkuu eddy unajuwa unachokiongea?JK alinunua ndege gani za ATCL?.... Ndege ipi ya kisasa aliyonunuwa JK kwa ajili ya ATCL...Kwenye ndege JK hakugugusa wala kutia mkono,kama alivyolikuta shirika aliondoka akaliacha kama lilivyo.Ile ndege ya msuguli ilianguka bukoba, tunazo ndege za kisasa kuliko hizo daladala Q400 alinunua JK, tutumie marubani haohao, kwanza wana weledi kuliko hivyo vibabu.
wacha kuchanganya desa, zipo ndege za kijeshi za kisasa kabisa hadi marekani walilalamika kuwa hatukustahili kuwa nazo.Mkuu eddy unajuwa unachokiongea?JK alinunua ndege gani za ATCL?.... Ndege ipi ya kisasa aliyonunuwa JK kwa ajili ya ATCL...Kwenye ndege JK hakugugusa wala kutia mkono,kama alivyolikuta shirika aliondoka akaliacha kama lilivyo.
Mmmmh watu mna maneno sanakwani hawawezi badilishana? au wanakuwa kama maksai, anayekaa kushoto ukimuweka kulia anapotea njia?
Mimi ningekuwa ni mfanyakazi wa ATCL ningetafuta kazi ya kufanya
leseni zao zilishakwisha muda wa matumizi, ni vibabu vilishafika muda wa kustaafu, kimsingi hawana tija wawaondoe tu, yule prof wa NIDA sijui tumhamishie huko akawadisco na huko.Maneno mazito sana haya Truvada. Swali linalotokana na maneno haya ni; marubani wa ATCL wako wapi na watafanya kazi gani endapo wanajeshi ndio watarusha ndege hizo?
leseni zao zilishakwisha muda wa matumizi, ni vibabu vilishafika muda wa kustaafu, kimsingi hawana tija wawaondoe tu, yule prof wa NIDA sijui tumhamishie huko akawadisco na huko.
Nafikiri wewe ndio unachanganya madesa mkuu....ndege za kisasa kivipi?Zile tunazopitishiwa kwenye maonyesho ya Muungano au Uhuru?achana na story za kwenye kahawa...US mpaka ajuwe ndege mlizonazo ni udhaifu,hakuna kitu kama hicho.Ukiangalia zile zinazokatiza mitaani au juu kwenye mafunzo kwenda Ngerengere niwacha kuchanganya desa, zipo ndege za kijeshi za kisasa kabisa hadi marekani walilalamika kuwa hatukustahili kuwa nazo.