KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,117
- 5,321
Kwako,
Rais wa JMT,
Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Awali ya yote nachukua nafasi huu kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa kutujalia afya njema na uzima mpaka muda na wakati huu.
Mhe. Rais, ni heshima kubwa kwangu kukuandikia maoni na ushauri wangu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa letu.
Mhe.Rais, tumemaliza uchaguzi Mkuu ukiwa umepata ushindi wa kishindo na kuaminiwa na watanzania kwa kiwango Cha juu sana, ni jambo la kukupongeza.
Katika kipindi chote Cha kampeni umetoa ahadi za matumaini makubwa kwa kesho ya Taifa letu na wananchi wamezikubali ndio maana wakapiga kura ya ndio na sasa ni wakati wa kufanya utekelezaji wa ahadi hizo.
Katika kutafakari ndio nikakuikumbuka 'Presidential Delivery Unit' (PDU )iliyoundwa na kusimamia sera ya matokeo makubwa sasa (BRN) hivyo kuwa chombo muhimu sana katika ufuatiliaji na kufanikisha malengo ya Serikali hivyo nashauri kurejeshwa upya kwa kitengo hiko Cha PDU ili kisaidie kusimamia kwa karibu utekelezaji wa makusudi ,malengo ,vipaumbele na matarajio ya Serikali yako.
Naomba kuwasilisha.
Ahsante