B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,087 Reaction score 10,769 Dec 15, 2017 #1 Wakuu naomba maoni na ushauri wenu kuhusu uzuri au ubaya (Manufaa) wa kusoma kozi hiyo
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Dec 15, 2017 #2 Haina manufaa kwa manasheria mwenye lengo la practice. Kwa kutegemea hizo kozi labda usubiri ajira tu
Haina manufaa kwa manasheria mwenye lengo la practice. Kwa kutegemea hizo kozi labda usubiri ajira tu
snboy Member Joined Apr 5, 2014 Posts 75 Reaction score 14 Dec 17, 2017 #3 BEHOLD said: Wakuu naomba maoni na ushauri wenu kuhusu uzuri au ubaya (Manufaa) wa kusoma kozi hiyo Click to expand... Labda tuanze na wewe ulikua na lengo gani hasa mpaka ulipoanza kufikiria kisoma hiyo kozi. Hyo tisa, kumi wew undergraduate umesoma kozi gani
BEHOLD said: Wakuu naomba maoni na ushauri wenu kuhusu uzuri au ubaya (Manufaa) wa kusoma kozi hiyo Click to expand... Labda tuanze na wewe ulikua na lengo gani hasa mpaka ulipoanza kufikiria kisoma hiyo kozi. Hyo tisa, kumi wew undergraduate umesoma kozi gani
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 584 Dec 31, 2017 #4 Nenda kasome post graduate diploma in legal practice
kwame nkuruma jr JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 301 Reaction score 640 Dec 31, 2017 #5 Wakuu kusoma law school moja kwa moja ukitokea chuo na ukifanya Kazi kwanza kwa miaka kadhaa kipi bora?
Wakuu kusoma law school moja kwa moja ukitokea chuo na ukifanya Kazi kwanza kwa miaka kadhaa kipi bora?
666 chata JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 1,710 Reaction score 4,046 Jan 1, 2018 #6 kwame nkuruma jr said: Wakuu kusoma law school moja kwa moja ukitokea chuo na ukifanya Kazi kwanza kwa miaka kadhaa kipi bora? Click to expand... Maliza chuo nenda law school, usipoteze muda, uenda uko mbeleni mambo ya kawa magumu zaidi na law school pakawa hapaingiliki tena.
kwame nkuruma jr said: Wakuu kusoma law school moja kwa moja ukitokea chuo na ukifanya Kazi kwanza kwa miaka kadhaa kipi bora? Click to expand... Maliza chuo nenda law school, usipoteze muda, uenda uko mbeleni mambo ya kawa magumu zaidi na law school pakawa hapaingiliki tena.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,461 Reaction score 43,432 Feb 16, 2022 #7 Advocate J said: Nenda kasome post graduate diploma in legal practice Click to expand... Naomba msaada katika suala hili. Sent using Jamii Forums mobile app
Advocate J said: Nenda kasome post graduate diploma in legal practice Click to expand... Naomba msaada katika suala hili. Sent using Jamii Forums mobile app