Ushauri plz

Ushauri plz

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
619
Reaction score
257
Wanajamvi naombeni mnishauri...............
kuna mshkaji wangu ana aibu kwa wadada kupita maelezo haswa inapokuwa katika swala la kuapproach! nambieni namna ninavyoweza kumwondolea hiyo hali manake inatia aibu kwakweli......
naomba kuwasilisha
 
Ungesema ni wewe mwenyewe ingekuwa rahisi sana. Kama wewe una uwezo wa kutongoza kwa nini usimwambie maujanja uliyonayo???????
daah mi nimeshindwa ndo maana nawaomba ushauri nyie wakuu
 
huyu kama ni wewe vile unaomba ushauri kwani kuna mbinu ya kutongoza kweli zaidi ni kujiamini tuu huyo anamapungufu fulani woga umemtawala mwambie aje anitongoze basi nimuone alivyo zege
 
Piga pombe na bhangi mistari inateremka tu............................!:madgrin::madgrin::madgrin::madgrin:
 
Mwambie ajiamini na kupigwa kibuti mara ya kwanza ni kitu cha kawaida. Inawezekana hofu yake kubwa ni kuwa akiapproach mtu na baadaye kukataliwa ishu itavuja na atakuwa amejiharibia. Mambo hayaendi hivyo, hawa wenzetu wana approachiwa kila siku!
 
Aendelee hivyo hivyo tu kwa dunia ya leo ni jambo zuri tofauti
na siku za nyuma ambapo ilikuwa sifa, mpaka mtu alikuwa anaitwa
MKALI, BINGWA, PELE, MARADONA n.k lakini leo ni KICHECHE, KIMEO
FATAKI n.k

Tena akitulia zaidi wenyewe watakuja kumtongoza yeye.
 
bado mnatongoza mpaka siku hizi??? kha! mbona mi naona muda wowote wapo tayari tu siku hizi hawa viumbe,manake hata ukiwatania wanafanya kweli ...mi nina kazi ya kuwakimbia na kuwayeyusha siku hizi......basi kama unajifunza gonga viroba fasta
 
umemaliza yote...hawa mademu wenyewe wa siku hizi ukimzoea kidogo tu ,halafu una namba yake kinachofuatia ni kumuita mylove kwenye smsz ....kifuatacho ITV unakijua
 
Wanajamvi naombeni mnishauri...............
kuna mshkaji wangu ana aibu kwa wadada kupita maelezo haswa inapokuwa katika swala la kuapproach! nambieni namna ninavyoweza kumwondolea hiyo hali manake inatia aibu kwakweli......
naomba kuwasilisha

Isiwe mwenye tatizo ni wewe?
 
Muache amalize masomo kwanza, unamuharakishia kutongoza, umesikia kuna medali huko?

Wanajamvi naombeni mnishauri...............
kuna mshkaji wangu ana aibu kwa wadada kupita maelezo haswa inapokuwa katika swala la kuapproach! nambieni namna ninavyoweza kumwondolea hiyo hali manake inatia aibu kwakweli......
naomba kuwasilisha
 
In my OPINION please try these two pieces of advice...

Mwambie atafute ela tu.... Watakuja wenyewe...

Mwambie ajiamini na kupigwa kibuti mara ya kwanza ni kitu cha kawaida. Inawezekana hofu yake kubwa ni kuwa akiapproach mtu na baadaye kukataliwa ishu itavuja na atakuwa amejiharibia. Mambo hayaendi hivyo, hawa wenzetu wana approachiwa kila siku!
 
Wanajamvi naombeni mnishauri...............
kuna mshkaji wangu ana aibu kwa wadada kupita maelezo haswa inapokuwa katika swala la kuapproach! nambieni namna ninavyoweza kumwondolea hiyo hali manake inatia aibu kwakweli......
naomba kuwasilisha

mwamie aje kwangu nitamtongoza mwenyewe
kama mwanajf nipe jina lake nimpm
 
Back
Top Bottom