we vipi bana, watu wengine mnawaza uchafu tu.
nina maana kwamba haogopewi huko nje na vimada maana wanamchambua nje ndani.
sasa kama kashindwa kutawala small house je ataweza tawala big house?
mi nahitaji mwanaume mtawala bana
Huna lolote, mbona huyo jamaa umempa K na kakutotolesha watoto wawili, halafu unasema humzimiki. Ulimpaje K?
Wewe sema bana kuwa sasa umeshazidiwa nguvu na nyumba ndogo, umekuja hapa ili upate ''public sympathy'' na ''moral support'' ya kuvunja ndoa yako......waswahili wanasema maji yameshazidi unga mama....wewe jikate tu kimpango wako mwachie nyumba ndogo aendeleze libeneke!
Ha ha ha nimecheka hadi secretary kaja kunichek lol mbona wamtusi bibi wa watu?mvumilie mumeo hata kama ni mwanaume suruali
Ha ha ha nimecheka hadi secretary kaja kunichek lol mbona wamtusi bibi wa watu?mvumilie mumeo hata kama ni mwanaume suruali
sijamtusi bana.
unajua kuna watu wengine wanafiki sana,
sasa hapa JF ninamuogopa nani?
nani anaweza nijua hapa, anyway usikute ndo wife wa huyo jamaa wangu wa 42 yrs!
Watu hawajui tu, mi mtu akiniona nilivyo mtakatifu kwa nje huwezi amini ndo Ayanda Crazy gal
mbona is simpo?why dont you just be at ur hubby's house and keep cheating on each other freely so that by the time ARV's are no longer helpful u will be there to help each other since sex didnt help..just thinking
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.
ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.
anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.
tatizo hakuna is just that, nimebugi mennnnnnn
tangu zamani nilikua navutika na wanaume wakali na wacheshi pia, yaani nataka nimuogope ndo nitamheshimu yaani kama watz tulivyomuogopa nyerere na tukampenda sana basi na mie ndo hivyo hivyo.
sasa mi simheshimu maana anaburuzwa nje, sasa why mie nimheshimu na siwezi ishi na dume nisililiheshimu
kwa hiyo unataka ukavuruge ndoa ya mwenzako?maana ulivyokuwa unatukanana na hawara ya mumeo ndo unaenda kuwa unatukanana na mke wa jamaa wa 42 yrs,then unafikiri nini kitatokea?yule mama akiwa na tabia kama zako na yeye atafanya kama ulivyofanya wewe,then mnatengeneza dunia ipi.A BETTER FAMILY IS A FOUNDATION OF A BETTER WOLRD,then tumia akili na sio kusukumwa na emotions kama mtoto teenagermie sitaki aache na infact nimeshamwambia asimuache maana sasa k kwangu hapati.
kuwa nyumba ndogo kwa yule jamaa wa 42 yrs ni better kuliko huyu ninaemuita eti mume lol
Shauri lako nasikia ni mod huyo,atamerge akaunti yako anakiherehere huyooo watch out
kwa hiyo unataka ukavuruge ndoa ya mwenzako?maana ulivyokuwa unatukanana na hawara ya mumeo ndo unaenda kuwa unatukanana na mke wa jamaa wa 42 yrs,then unafikiri nini kitatokea?yule mama akiwa na tabia kama zako na yeye atafanya kama ulivyofanya wewe,then mnatengeneza dunia ipi.A BETTER FAMILY IS A FOUNDATION OF A BETTER WOLRD,then tumia akili na sio kusukumwa na emotions kama mtoto teenager
hahahaaa.... ayanda umenifurahisha, me mwenyewe napenda mme mkari kiasi then mcheshi ili pale ninapokosea aweze kuning'ata na kunipuliza sio unakaa na dume ndani kama zezeta halijui baya wala zuri lipolipo tu...!
Btt; usijaribu kuikimbia nyumba yako, kaa kwako lea wanao then usiwaamini saana waume wa nje, wengine wanakupenda ukiwa kwako ukisha vunja ndoa yako tu nawenyewe wanajisepesha.
HAPANA dear mi siwezi tukanana na wife ya mutu bana, mi nakula changu kwa muda wangu. Matusi ya nini bana!
sina uwezo wa kuvuruga ndoa ya mtu, the fact huyo jamaa ananingangania then definately hiyo ndoa imeshavurugika ila hawajui tu.
sina muda wa kutukanana na pia mi sio teenager