ushauri pliz: Nafikiria divorce

Jamani, juzi umekuja na thread, "Tahadhali wanaotafuta wachumba JF," kuwa eti oooh jamaa anataka K mara 3 kwa siku. Hatujamaliza kukufunda, mara unawaza divorce. Swali na yupi una divorce naye, ushachanganya issues...
 
Uyo uliyenae ndo stahiki yako kabisa, ukijaribu kuachana nae utavurunda kuliko unavovurunda sasa ivi,.. Bora muongee yaishe, sema una kauselfish flani ivi, unahisi ni wazi kuwa upo kwenye ndoa ili wewe ujisikie vyema, haiko ivo,... Nenda kwa mumewe uongee nae, muspark ur marriage life again, ila ukisema ujisikii chochote kuhusu ii ndoa, ni kutokua na imani na mwenzako,... Shirikisha watu weny busara wakusaidie, ila ukifanya maamuzi mwenyew utapotea, Ahsante
 
MWAMBIE AJE KWANGUU NIMPATIE KUMBATIO LA MOYO ATII
 
Daaaa...naelewa sana unavyojisikia,,polee sn,ila mshauri wa mwisho na wa kweli hapo ni ww mwenyew, hakuna anayeweza elewa hisia zako au anayejua unavyojisikia zaidi ya yule ambaye alishapita huko au ww mwwnyew tu....unahitaji maamuz magumu..pia its not bad sometimes to be selfish...si vibaya ukawa na maamuz ynye faida kwako kdogo na moyo wako...30 yrs ukijipenda bado una chance ya kuwa happy again na new relationship..but pia n vzur ukajipa break kdogo bila kuwa na yyte...kilichokusha hapo n hzo cheating za mumeo...
 
Hana noti?
 
Km ndio kuchokana inafikia hivi wanawake mungu anawaona
 
We ndio unanishtua kumbe inafikia hatua hizo tiririka mwanangu tujifunze
 
Dah yani haya mambo bana. Hii post imenichosha sanaaa. Ghafla nimeingiwa na deep worry, mara woga yani. Hii post specifically imenitoa mood kabisa. Daah OMG
 
Mie niseme mke wangu mwaka wa 18 sijawahi juta hata michepuko km kawa na kukamwatwa sana tunasonga mbele na hajawai fikia robo ya haya anayosemea dada yetu je ingekuwaje kwa wale wanaooa wanawake 10?
 
Jamani, juzi umekuja na thread, "Tahadhali wanaotafuta wachumba JF," kuwa eti oooh jamaa anataka K mara 3 kwa siku. Hatujamaliza kukufunda, mara unawaza divorce. Swali na yupi una divorce naye, ushachanganya issues...
Hii ni thread ya 2013
 
aani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.

Pole sana dada. Ila, una hali ngumu sana. Fikiri: Yu don't feel anything for him. Dah! Halafu mna watoto 2. Yaani, ilidondokea tu ukaogopa kuua kiumbe cha Mola. Yaani, hata angelikufa, ungeweza mwacha ndani ukaenda club kupata moja baridiii ila vitoto vitakuumbua.
Nakushauri; Mdomo huumba. Ukiamka asubuhi, after b/fast mvute kifuani, look him straight in the eyes, mwambie, "John" I love yu. Kwanza atashtuka, pili atashangaa. Akizinduka wewe haupo ushaenda kazini kwako. Akirudi jioni, mkwide shati; mwambie, "John" I love yu.
Taratiib, penzi litamea tu moyoni mwako. Taratiib, ataanza kukuheshim na kukuona wa maana kwake. Akiangalia watoto wenu wazuri, akiangalia hishima unayompa sasa. Atahukumiwa akitoka nje. Na wewe, acha michepuko. Wanachokufanyia kule, si umfundishe huyo mumeo akutende?? Mche ni ule ule tofauti ni kinu tu na mtwangaji mbinu zao ndo tofauti tu.
 
Ndyo huyuu
 
Dah yani haya mambo bana. Hii post imenichosha sanaaa. Ghafla nimeingiwa na deep worry, mara woga yani. Hii post specifically imenitoa mood kabisa. Daah OMG
usiogope!
Anayoyapitia yy si utakayoyapia ww
 
usiogope!
Anayoyapitia yy si utakayoyapia ww

Daah hapana man.

Ivi ushawahi kupenda ww ?? Nimekaa nimevuta hisia kwa mwanamke ninayempenda kwa moyo wangu wooote alaf aje kuniambia au kunifanyia mambo kama hayo. Hapana man. Thats just terrible.

Love doesn’t need to be soo Hurtful.
 
Jamani, juzi umekuja na thread, "Tahadhali wanaotafuta wachumba JF," kuwa eti oooh jamaa anataka K mara 3 kwa siku. Hatujamaliza kukufunda, mara unawaza divorce. Swali na yupi una divorce naye, ushachanganya issues...
huu uzi ni wa 2013, wamefukua makaburi
 
Daah hapana man.

Ivi ushawahi kupenda ww ?? Nimekaa nimevuta hisia kwa mwanamke ninayempenda kwa moyo wangu wooote alaf aje kuniambia au kunifanyia mambo kama hayo. Hapana man. Thats just terrible.

Love doesn’t need to be soo Hurtful.
Nakuelewa sanaaa

Wanawake huwa tu ajifunza kupenda ,lkn sio kwa mwanaume!
Mwanaume km kakupenda ni hivyo na km hakupendi ni hivyo tofauti na mwanamke, mwanamke anaweza akawa hakupendi lkn ukamfanya akupende!
Na pia akikupenda ,kuna vitu vidogovidogo sn unaweza kua unamfanyia vikamfanya asikupende!
Kazi ni kwako!
 
Hapana bana.

Its like this mpaka unaamua kuishi na mtu unakua ushakubali madhaifu yake madogo madogo and despite the fact ana madhaifu yake u can keep up and still be happy living together (rejea the 80/20 rule)

Huyu dada anachopost au kulalamika yeye ni kwamba mi naona they’ve been living a world of pure lies since day uno (1). Unazaa vp na mtu ambaye hauko tayari kuwa nae ?? Ivi wewe swala kufunga ndoa na mtu usiekuwa na unatayari nae unalichukulia vp ?? Marriage is an institution ujue.

Its not a try and discard business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…