Asante kwa kujirekebisha pengine utarekebisha na tabia yako ya kusema ovyo na ndo maana mme anakushinda ayanda. Usipende kuwa jamvi la wageni Ayanda. Tabia yako mbaya na kwa bahati mbaya hukuchapwa na wazazi wako ndo maana uko hivyo. Mgeukie muumba
hautaki divorce kwa sababu ya mumeo kukucheat, bali unataka urudiane na mtu wako wa 42 years sasa tukupe ushauri gani na decision umeishafanya. pole, chukua hatua in which you will be happy. (una watoto???)
Nadhan amekupata! Ngoja aje tuone.
try again dada jaribu kurudisha upendo nd kumbuka y u lovd him coz dah hao watoto watakua affected more than u can imagine
hey, i was having fun u know just kupunguza tensions.
i didnt mean anything u know, hapa JF naingiaga kujirusha tu nikichoka na kazi.
I didnt mean it seriously, besides siwezi take such a heavy decision like divorce so fast. Nilikua na stress so nikahitaji kujipunguzia kwa kushare with these people.
Dont take it serious bana! but i have tried to hide your identity si umeona?
ah sometimes its fun kujibizana na watu usiowaona wala kuwajua.
hope tumeelewana baby boy.
Basi ngoja tuendelee kupunguza tension! Kumbe hukuwa silias,anyway,umejitahidi kuhide identity yangu? Can you tell me how did you managed to hide my identity, it seems zat you know me. Nadhan kwa sasa umepunguza stress sasa eeeh!
Basi ngoja tuendelee kupunguza tension! Kumbe hukuwa silias,anyway,umejitahidi kuhide identity yangu? Can you tell me how did you managed to hide my identity, it seems zat you know me. Nadhan kwa sasa umepunguza stress sasa eeeh!
Unajisahau, unakumbuka kabla ya kuolewa maBF wako wote? Umesahau kuwa kaka yangu alikumega, mjomba pia akakufaidi. Nakumbuka walikuwa wakisema. Ulipoolewa ndo vidumu kama kawa. Mimi hujanipa maana ni mdogo wako lakini subiri, wakikuchoka utakuja kwetu maserengeti boys!!! Natamani kupanda hilo gari lako.nani kakwambia nagawa kama njugu wewe, kwani wewe nimekupa. Yani kumpa mtu mmoja nje ndo nimegawa kama njugu?
hebu niondokee
Utanihonga tu ukichuja, hivi mdogo wako bado mzuri kama zamani? Nilimpenda sana wakati ulenyoooooo uniduu wewe labda nikiwa maiti sio mzima hivi.
Ayanda, si unajua bado sijaoa mpaka nifike 30. Siwezi oa na miaka 22. Lakini dada yangu acha umalaya, tulia mume anakuenjoy tu. Hivi ulishapima? Tembelea angaza ayandaah na wewe bana, mume kanishinda how wakati yeye ndo anabembeleza kwangu mpaka namuonea huruma siku hizi.
hebu niondolee ujinga wako hapa, jamvi la wageni demu wako sijui mkeo.
na wew utakua suruali tu
Ayanda, si unajua bado sijaoa mpaka nifike 30. Siwezi oa na miaka 22. Lakini dada yangu acha umalaya, tulia mume anakuenjoy tu. Hivi ulishapima? Tembelea angaza ayanda
Utanihonga tu ukichuja, hivi mdogo wako bado mzuri kama zamani? Nilimpenda sana wakati ule
Unajisahau, unakumbuka kabla ya kuolewa maBF wako wote? Umesahau kuwa kaka yangu alikumega, mjomba pia akakufaidi. Nakumbuka walikuwa wakisema. Ulipoolewa ndo vidumu kama kawa. Mimi hujanipa maana ni mdogo wako lakini subiri, wakikuchoka utakuja kwetu maserengeti boys!!! Natamani kupanda hilo gari lako.
Acha utani nenda na itakuwa bahati mbaya kama utakuwa negative maana nasiki (kwa waliopata bahati mbaya kuonja tunda lako) kuwa huwa hutumii kinga. Uzuri wako wote huo unauchezea. Kaa na mmeo tuhata mimi naona.
angaza nilishaenda, kwani si ulinipima wewe mwenyewe au umesahau?
Ayanda kwa uongo!!! Usijisheue wadogo zako wawili ni wanaume na wawili ni wasichana (ladies maana sijui kama bado)kwani wewe ni shoga? maana wadogo zangu wote ni wa kiume.
Ayanda kwa uongo!!! Usijisheue wadogo zako wawili ni wanaume na wawili ni wasichana (ladies maana sijui kama bado)
Nimesoma thread yako ila kwa haraka haraka nnachokiona hapo ni kuwa wote mmeamua kusalitiana kwa sababu mmoja alianza kumsaliti mwenzake. Waswahili wanasema mwaga mboga nimwage unga. Sasa ukitaka salama, usijaribu kukimbilia talaka. Haitakusaidia sana. Hata huyo unayedhani anakufaa na miaka yake 42 sijui, hatakusaidia lolote. Yamkini ana wengine zaidi yako huko nje kwa hiyo kukimbia tatizo moja kunakupelekea kukutana na mengine elfu 3 huko nje. Sasa ni bora ukakaa na kuishauri nafsi yako kama inataka kudeal na matatizo lukuki ya nje au kukabiliana na lako moja la ndani.
You might want to say, staying will add no value neither solve what is currently prevailing but I can only tell you, you are far better off where you are than where you want to go.
Grasses always look greener on the other side. Eyes can be deceiving at times. Don't let this be that time.
I have seen more people who made it by staying and fight than those who gave up and ran away. Life changes them completely for the worst especially those who ran away. God will deal with your situation. In fact God hates divorce. it is written in Bible. And if at all you consider doing it, just remember that Biblically you are not allowed to enter in another marriage until your husband dies. Remember, the only divorce that God recognises is when your spouse departs (Akitangulia kwenda mbele za haki). Contrary to that, bible calls it adultery.
No heaven for adulterers.
Counselling can do a lot more to you than gossips from friends. get a person you cn trust to take you through spiritual counselling and you will be up and running in no time.
God brings together, Satan scatters. And that is exactly what Satan wants to do in your life right now.
Two wrongs dont make it right. Just because he has done you wrong does not qualify you to repay him with the same.
Think about your kids and your future that you are so concerned about, in fact your future is safer with God than any where else.
I humbly submit.