Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jan 1, 2016 #1 nataka nimiliki website mbili ambazo watu watakuwa wanafanya online business e commerce je natakiwa niwe na server yangu
nataka nimiliki website mbili ambazo watu watakuwa wanafanya online business e commerce je natakiwa niwe na server yangu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jan 1, 2016 #2 anza kwanza kutafuta visitors, then ukiweza kuvutia watu wengi ndio fikiria mambo hayo. ila kwa kuanzia kama site ina watembeleaji chini ya 1000 sioni haja hio, hosting za kawaida zinafaa
anza kwanza kutafuta visitors, then ukiweza kuvutia watu wengi ndio fikiria mambo hayo. ila kwa kuanzia kama site ina watembeleaji chini ya 1000 sioni haja hio, hosting za kawaida zinafaa