Ushauri please

Jamani naombeni ushauri, si muelewi huyu mtu.

Tumekuwa kwenye uhusiano kwa miaka 2, lakini kwa sasa tupo mbali.

Mi sababu ya masomo, anajua siwezi rudi mpaka baada ya 6 years, mwanzo alikubali kunisubiri, but nashangaa akageuka anasema hawezi ni muda mrefu, nikamwambia ka hawezi hakuna point ya kuendelea bora kila mtu ashike zake ajali future, akanigeuzia kibao kuwa nataka kumuacha, nikamwambia yeye ndo kaweka vitu wazi so siwezi kuweka matumaini pasipo tumainika, then ananambia anataka akanitambulishe, kweli hapa kuna ukweli!! please naombeni ushauri.

Anatikisa kiberiti,by the way keshapata mwingine huyo achana nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom