Ushauri please

Ushauri please

Yani hapo sijui kama kuna uchumba,mwenzio kaonyesha kua uvumilivu hana,akili kumkichwa utajakosa bara na pwani
 
Missing u honey...umenisikitisha kuonyesha hutaweza kunivumilia

Nimesema ukweli wangu bb, kiukweli hapa kama ni 6yrs labda uniachie shost wako kwa mkataba awe anaipooza pooza alafu ukirudi shost wako anakaa bench kushangilia.
 
Nimesema ukweli wangu bb, kiukweli hapa kama ni 6yrs labda uniachie shost wako kwa mkataba awe anaipooza pooza alafu ukirudi shost wako anakaa bench kushangilia.

hahahaha
 
Miaka sita khaaa,siku hizi ukivumiliwa saaana ni wiki moja.maana papuchi za sikuhizi zinashika kutu so zinahitaji kupigwa grisi mara kwa mara...loading error...


Wasisahau Darwinism theory of use and disuse. Ukiacha haya mambo 6yrs hizi nyeti zita disappeared. Mimi zakwangu kwakweli kwaumri huu maximum 6months zaidi ya hapo tunaongopeana tu hapa watu wazima.
 
Kwasababu za kuwa na peace of mind, mkubaliane kusubiliana,,, lakini hamna ktu kama hicho in real life, wote mtachepuka tu
 
6yrs????

acha uongo HAIWEEKANI IN REAL LIFE
 
Duuuuuh, kumbe hakuna upendo wa kweli dunia ya sasa!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom