Kisa kama hiki kilimtokea shangazi yangu 30 yrs ago huyo baba alioa mke mwingine na wa dini tofauti na yake! Yaani ni kama amelaaniwa na kizazi chake hao watoto aliozaa na mkewe hakuna hata aliefika form 4. Na huyu wa shangazi yangu ni Dr. mzuri sana
Alirudi kuomba msamaha kwa shangazi na mwanae but ni too late! Mwanae hamuelewi maana hawako close. Ameamua kurudi kwa dini yake ya awali ila ndio mlevi kupindukia.
Katika maisha ya binadamu malipo ni hapa hapa dunia.