zamboni
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 364
- 180
Nna rafiki yangu ana ishi mkoani, ana girlfriend wake anasoma chuo flani cha diploma, sasa kwa bahati mbaya au nzuri jamaaa amempa mimba huyo binti, na mimba kwa sasa inakama wiki mbili. Ila jamaa na mpenz wake wamejadiliana wame amua bora waitoe hyo mimba..
Ila kabla hawajatoa jamaaa amekuja kuniomba ushauri kua is it safe kufanya abortion? Binafsi kwasbabu sina ujuzi juu ya hlo, nimeonelea bora nikalileta hlo suala humu ili niweze kupata ushauri wa kumpa.
So if u have any useful advice pls share