Ushauri please

catharine

Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Nakumbuka nliwah kuwambia kuhusu tatizo langu, now nafkiria kuhusu maneno yenu, ijapokua nampenda na yeye
 
aisee, and we are supposed to remember. Duh, kazi kweli kweli.
 
I wish I could remember your story but wapi!!!!!

Yule bwanake anavuta bhangi, sigara na pombe lakini hajwahi kwenda kinyume(kucheat)!

yeye naogopa kumwacha coz anampenda sana na wasiwasi wake ni kuwa anaweza kumuacha halafu asimpate mwingine, coz yeye anamchukulia kama alivyo!

alikuwa anaandika ki-fb fb sanaaaa!

haya sasa umekumbuka heeeee!

nimekumis mamito wangu! love you!

cc: catharine
 
Last edited by a moderator:

at least now i could remember something......

ulimshaurigi saana,haya naona anaendelea kutafakari

ushauri ijapokuwa anampenda sana!!!!!!!!!!!!!!!
 
Just nafkiria kumuacha but naona nashindwa because nampenda, na tumepanga kuona hata wazee wanajua now, ila nkifkiria ndoa ni kitu chengine am not sura if ntaweza kuja kuhandle nae, so please naombeni ushauri wenu niachane nae or nimstahmilie anaweza kubadilika?? Because tangu mniambie ushauri wenu nimufkiria sana but sijui nianze vipiand nimuanze vipi, tumeahidiana kua pamoja kwa vovote now nimgeuke ghafla tu je itakua haki wakati hajanifanyia baya,,, Pleaseee, naomben ushaur wenu seriously what to do
 
Haya naona ulitumis endelea kutafakuri mama!
 
Nakumbuka nliwah kuwambia kuhusu tatizo langu, now nafkiria kuhusu maneno yenu, ijapokua nampenda na yeye

mbona kama umeanza katikati?
Hebu anza upya aisee wengine ndo tunakutana na nyuzi hii kwa mara ya moja
 
Ushauri wa nini sasa ???
Umesema hutaweza ku handle maisha ya Ndoa.

Jibu unalo .
 
catharine nipe ruhusa ya kukufuata PM.. tutamalizana huko.
Napenda mabinti walio ktk njia panda kama wewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…