Kuna mengine hayahitaji ushahidi. Kama hampi hela za matumizi, ni makosa pia, na hahitaji ushahidi. Mwanaume ndie anatakiwa kuleta ushahidi kua anatoa hela ya matumizi. Pia kama alimshawishi vya kabaaang havihitaji ushahidi, ni kufikisha tu taarifa.MWALI, wameshakaa vikao si chini ya mara tatu na mwanaume anaomba msamaha na kuahidi kutorudia lakini baada ya mwezi mmoja anasahau na kuanza upya, sasa iv hataki hata kikao. Kiufupi rafiki yangu yupo njia panda, alitaka kwenda kwa viongozi wa dini akaambiwa lazima awe na ushahidi sasa ushahidi utaupata wapi na ilhali hayo mambo watu wanafanya wawili?
huo ndio ukwelihuyo mke hajaamua na manyanyaso kayazoeaSiku akiamua ataipata talaka
ushahidi upi zaidi unaotakiwa wakati tayari umeshaeleza mabaya mengi ya huyo shem wako? Umesema mmekaa vikao zaidi ya vitatu, na mwanaume anaomba msamaha, sasa si mtumie hizo minutes za kikao au wajumbe waliohudhuria vikao hivyo?MWALI, wameshakaa vikao si chini ya mara tatu na mwanaume anaomba msamaha na kuahidi kutorudia lakini baada ya mwezi mmoja anasahau na kuanza upya, sasa iv hataki hata kikao. Kiufupi rafiki yangu yupo njia panda, alitaka kwenda kwa viongozi wa dini akaambiwa lazima awe na ushahidi sasa ushahidi utaupata wapi na ilhali hayo mambo watu wanafanya wawili?
aachane nae mara moja kwasababu asipokuwa makini ukimwi unamsubiri, tena baada ya kuachana nae akapime ajue km anaanza kuishi kwa matumaini au la.Kuna rafiki yangu ana mume ambae sio mtu wa kawaida. Naposema sio mtu wa kawaida na maanisha binaadamu wa kawaida hawezi kua na mapungufu mengi ya kimaumbile ila huyu shemeji yangu ni too much,
roho mbaya yeye, wivu uliopindukia yeye, matusi yeye tena anamtukana mke wake mbele za watu, pombe yeye, kuhusu wanawake wa nje ndo usiseme, anatembea na ma baamed, makahaba, kwaufupi skert haikatizi mbele yake na kwa fununu zilizopo ni kwamba hao makahaba anawasodomaiz,
hamhudumii mkewe eti kwa sababu mkewe anakazi basi ale asile yeye hajali.
Rafiki yangu amekonda sana na kwa ufupi hawezi tena kumvumilia kwani anahofia kupata ukimwi, wote ni waislam hivyo kunauwezekano wa kuachana. Cha ajabu mwanaume ameapa kua hawez kumuacha mke wake na kujirekebisha hataki. Nimsaidieje rafiki yangu? Maana ananitegemea sana mm katika suala la ushauri na mm nishindwa ndio maana naomba ushauri.
hivi unaona hayo uliyotueleza yanavumilika? unataka yakimshinda kabisa umuambie aachane nae wakati huo ni muathirika tayari na ilhali kulikuwa na namna ya kuzuia hayo yasitokee? the hard way the only, mwambie asiogope kuanza maisha kivyake kwani wangapi wanaachana wanaanza maisha yao na wanafanikiwa sana tu?ningemshauri tu aachane nae na ajikite ktk kuwatiza wanae km hiyo ndoa yao ilizaa matunda hayo.asanteni kwa mawazo yenu, nimepata kitu cha kumshauri, mm ntamwambia aseme na moyo wake, ikiwa amechoka na mambo ya mume wake basi achukue hatua lakini kama anaona yanavumilika basi aendelee kuishi na mume wake kwani uamuzi upo moyoni mwake.