Ushauri please!

Ushauri mzuri nitafanyia kazi ,sema huyu mwanamke anamajaribu sana mhh.
 
Mmmh.
Yaani siku hizi si wanaume wala wanawake Hamna akili kabisa. Yaani hata wanaume ambao mliambiwa muishi na hivi viumbe kwa akili Hamna akili zaidi siku hizi.
Hapana dadaangu akili zipo za kutosha ,najaribu kupata ushauri nisije nikateleza!
 
Kwanza ujijue wewe ni nani na nini ni misimamo/misingi yako na mipaka yako.
Ukishajua na ukajijua, hata aje mzuri kama malaika utabaki salama.
Kama hujajiwekea misingi au unayo na huisimamii , ushauri mwingine utakua kazi bure.

UAMINIFU (kwako na kwa wengine) ni sifa kuu lakini adimu sana sana;
Choose you now to be among the few. Re-position yourself for greatness.

ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje,maana hapa nipo dilemma.kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
 
Ahsante mkuu!
 
Hatua uliyofikia we malizia tu, sababu hata ukiacha haitabadili kitu. Halafu utafute jina lingine la kuupa huo uhusiano wenu na mshkaji, kwa sababu kwako sio urafiki.
 
Duniani vitu vinavyoleta chuki, uhasama hata kuumizana ni wanawake na pesa...

Kaa mbali na mwanamke wa mwenzako hata kama anataka yeye, wewe inabidi uwe na msimamo wa kukataa na kuepuka...


cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…