Ushauri please!

Ushauri please!

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,404
Reaction score
1,517
Ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje, maana hapa nipo dilemma kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
 
Acha kabisa usithubutu..., itakucost baadae

[HASHTAG]#2020usinipangie[/HASHTAG]
 
Maisha ni kitu ambacho kiko fair sana.
Kila kitu unachofanya iwe kwa wazi au kwa siri, LAZIMA
utavuna matunda yake. LAZIMA - hata kama sio leo.

Maamuzi madogomadogo tunayofanya siku hadi siku, KWA HAPO UNAPOFANYA inaonekana kama hujabadili chochote.
Lakini tone moja jumlisha na la pili jumlisha na la tatu, nk, yanajaza bwawa.

Maamuzi chanya, yatakuzalia matunda chanya.
Maamuzi hasi, yatakuzalia matunda hasi.

LAZIMA!

You may succeed to hide from people; you can NEVER hide from life itself.
Na tunajua,
kipi sahihi, kipi si sahihi kufanya.
 
Mkuu hilo Bomu unatengeneza ni kubwa sana ni vyema upunguze mazoea nae kwa kukaa nae mbali laa sivyo upo hatarin kuuza 0715..

Pilato 007
 
Mmmh.
Yaani siku hizi si wanaume wala wanawake Hamna akili kabisa. Yaani hata wanaume ambao mliambiwa muishi na hivi viumbe kwa akili Hamna akili zaidi siku hizi.
 
Mla huliwa, endelea kula mate ya huyo manzi na wewe usubiri kuliwa 071 na jamaa ake
 
ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje,maana hapa nipo dilemma.kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
Pambaff! ushamtamani shemeji yako! Hayo mazingira mmeyatengeneza wote pambaff zenu kwa ujumla!
 
Chagua moja kulinda urafiki na jamaa au kuvunja urafiki ili ulale na huyo manzi

Upendo ni tiba.
 
ukitaka kujua cha kufanya kwanza jiulize huyo mwanamke ndo angekuwa mke au mwanamke au whatever wako yuko katika hali hiyo na rafiki yako ungependa rafiki yako afanyeje???
 
ukitaka kujua cha kufanya kwanza jiulize huyo mwanamke ndo angekuwa mke au mwanamke au whatever wako yuko katika hali hiyo na rafiki yako ungependa rafiki yako afanyeje???
Aisee ni mtihani but nitajaribu kufanya wise decision
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom