Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
bofya hapa, sheria kwa kiswahili kutoa mimba zaidi ya kuwa dhambi mbele za mungu, kidunia ni kosa la jinai. Ndani ya icho kitabu kimeongelea yote hayo ikiwa ni pamoja na haki katika ndoa, mahusiano, watoto etc. Usije kumshauri atoe mimba kwasababu damu ya huyo kiumbe itakuwa mikononi mwako pia.
nusuru uhai wa mtu
Kama utahakikisha kwao hawatakuletea vurugu kubali.Lakini pia muwekane sawa ikiwezekana kimkataba majukumu na haki za kila mmoja wenu including mtoto ili usijesumbuliwa siku moja.Kuwa na mtoto ni baraka.U never know ukikinusuru hicho kiumbe Mungu atakubariki vipi
Sina la kuongeza umemaliza!wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.
mkuu sijamshauri atoe mimba ila yeye amenipa condition nikubali akiulizwa baba wa mtoto aseme ni mimi, otherwise hayupo tayari kumtambulisha aliempa mimba, so ataitoa
---Asnte mkuu kwa hii useful advice...binafsi sitakua huru kuwa artificial father as if baba halisi is dead, but also sitakua na amani akifanya abaortion japo sijamshauri afanye abortion... For more than 2 years nimekua karibu na huyu dada na nimekua namshauri mambo mengi ya msingi that's why ananiapreciate na kuniambia hatasiri zake (nothing more in between us).... Siwezi kuusemea moyo wake but inawezekana ni kweli ananipenda sema tulishawekeana mipaka katika relationship yetu, inawezekana anataka kutumia hiyo kama loophole..wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.
Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened siku hiyo ameenda club akiwa na mvulana ambae alishawahi kumtongoza (ila hakuwahi kumkubali).. Katika kunywa yasemekana aliwekewa dawa ambazo zilimlevya and she was unconscious.. Yule boy akatumia hiyo opportunity akakokotana nae hadi kunako ghetto na akasex nae bila ridhaa, ndipo mimba ilipotungwa.. Akiwa kama rafiki yangu nilishawahi kumshauri ajitahidi kutopata unplanned pregnant kwa kutumia njia zote (including calendar) but sio vidhibiti mimba (coz I know madhara).. Nikamsisitiza if it happen akapata mimba, asithubutu kufanya abortion (coz binafsi inaniuma sana nikisikia mtu kafanya abortion--kuua kiumbe kisicho na hatia).. Sasa amenisimulia mkasa mzima na ameniambia she hate that boy na asingependa ajulikane kwa wazazi, ndugu wala jamaa zake.. Kwa kuwa kila mimba ina baba, lazima ataulizwa aliemtia mimba, kitu ambacho yaye hataki coz hampendi huyo kijana.. So amekuja kuniambia ataitoa hiyo mimba, maisha yaendelee, hataki kuwakwaza wazazi na ndugu zake..if its mistake ameshafanya!!! Last word ameniambia kama natetea uhai wa hicho kiumbe nikubali kubebeshwa huo mzigo but she keep the secret coz hajamwambia huyo kijana kuhusu mimba.. Kuhusu matunzo anajua jinsi ya kustrugle.. So naomba ushauri wenu wanabodi, nikubali kuwa artificial father ili ninusuru uhai wa hicho kiumbe au nikung'ute mavumbi---(niache wafu wazike wafu wao)--its a 1 month pregnancy--------------------------------------------------------------------------NB: THIS IS A TRUE STORY

wewe moyo wako unasemaje..unapenda hiyo nafasi ya kuwa baba???pia kuna kitu gani kinachoendelea kati yenu na huyo mdada mpaka ajiamiini kiasi hicho cha kukutaja wewe.kuua kiumbe kisichokuwa na hatia ni dhambi.na pia kumficha ukweli baba juu ya mwanae na mtoto juu ya baba yake halisi ni kuwanyima haki zao za msingi.kama kweli huyo mkaka anampenda huyo mdada basi hiyo mimba ataikubali na kuilea.huyo mdada aache chuki binafsi na inavyoonyesha huyo mdada anakupenda wewe so anatafuta njia ya kukuweka kalibu nae.madhara ya kuwaficha watoto wazaz halisi ndo kunapelekea mwisho waje kuoana ndugu bila kujua.