ushauri please: mama yake demu wangu ameniita nikaweke mambo wazi,kastukia nipo na mwanae

wakuu huyu binti amemaliza shule na yupo chuo cha ualimu(grade A) mwaka wa kwanza. Ninampenda sana,mama ananiambia mie sina shida ili mradi tu uje uweke wazi na baba yake ajue. Niambieni nikichua uamuzi wa kwenda NIKAONGEE NINI?
 
Wakati unamtongoza ulimwambia unampenda..sasa unashindwa nn kwenda kuwaambia wazaz wake kuwa unampenda binti yao.wakupe ruhusa umuoe kama una malengo nae
 
Kama anamiliki bastola vaa bullet proof ndo uende,kama wana mshale kunywa kabisa dawa ya kuzuia mshale usiingie ndo uende
Na kama baba yake anakula tigo jiandae uinunulie Bundle ya kabaang
MinnieSpottedWolf-2.jpg
 
Nimemjibu yeye aliyesema hajui atenda kuwaambia nini!
Mimi ni mama na siwezi kumkabidhi bint yangu kiholela.

Duh! Kumbe we ni mama ya mutu tayari! Nilijua ni kama kina Smile siku moja nikuibukie na thread humu.
 
Last edited by a moderator:
Kama mama amefikia hatua hiyo ni hatari,je ikitokea ukamuacha mwanae si ndo atakutishia maisha Maisha? ilitakiwa aongee na binti kwakuwa binti anakufahamu vizuri na anajua akikutenya wapi unatimiza mahitaj yake fasta yeye ndo alikuwa responsible juu ya hilo,mimi nilitegeme labda mama akuchimbe mkwara kwamba acha kumharibia mwanangu maisha siyo tena anakushawishi ukajitambulishe,ila kwakuwa na ww umekubali na hapa unahitaji maneno tu ya kwenda kujieleza mtafute rafiki yako muende naye na msiwe wasemaji maana mmeitwa muwe wasikilizaji na kujibu maswali pale mtakapo hitajika kujibu baaasi!
 
wakuu huyu binti amemaliza shule na yupo chuo cha ualimu(grade A) mwaka wa kwanza. Ninampenda sana,mama ananiambia mie sina shida ili mradi tu uje uweke wazi na baba yake ajue. Niambieni nikichua uamuzi wa kwenda NIKAONGEE NINI?

Mkuu hakunaga utaratibu wa hivyo hata siku moja! Mama anatakiwa ajue tu kwamba wewe ndie mkaza mwana na mambo yakiwa sawa utafika kujitambulisha rasmi huku ukijiandaa kuoa. Mwambie kabisa huyo msichana wako kwamba huwezi kwenda ila awaambie wasihofu ipo siku utafika huko kwao! Hao wataenda kukuambia umsomeshe mwenyewe chuo.! Utaratibu wa wapi huu? Hata kama mama anajua kwamba we ndo mkazaji wa binti yake huwa anatakiwa akuoneshe ukarimu tu na heshima ili kukuvutia umuoe binti yao. Mambo ya kulazimishana kujitambulisha ndo nini? Aafu huyo binti yawezekana yuko peke yake kwao, wangekuwa wengi kusingekuwa na muda wa kuwafuatilia mambo yao.
 
we jitoe akili tu, utaenda kuchezea kichapo hadi akili ikukae sawa.

We hujawahi sikia kuna dogo alikua anachat na demu wake kumbe baba mtu alishachukua simu zamani
akamlengesha dogo akajaa mzee alikua askari magereza walimchapaje... bahati nzuri alimualika
rafiki yake lakini mchizi wake kama kijukuu cha mtume hakutokea ila baba mtu alikua na rafiki
yake askari mwenzie..

In Summary
Tuliza Pumbu Piga chenga usiende
 
indeed i thanking you very much mmu members for your positive advice. After revewing all your advice i decide to go to meet baba na mama mkwewe but with a maximum precautions.
 
Ndugu yangu na ww bhana, Yaani baada ya ushauri wote wa wadau hapo juu uka conclude uende!!...You are not serious mkuu.Nakushauri HUSIENDE
 
indeed i thanking you very much mmu members for your positive advice. After revewing all your advice i decide to go to meet baba na mama mkwewe but with a maximum precautions.

'i thanking you' loh! Namshukuru sana mwalimu wangu aliyetufundisha lugha primary maana cha sekondary kilikuwa magumashi tu! Tuwe tunaandika kiswahili basi kama lugha haipandi.
 
Mkuu mila zetu haziruhusu hii kitu!

Unless familia yao imekaa kizungu, otherwise kuna shida hapo!
 
indeed i thanking you very much mmu members for your positive advice. After revewing all your advice i decide to go to meet baba na mama mkwewe but with a maximum precautions.
And indeed we "thanking you much" too our fellow member for the "revewing"our positive advices...
 
ndugu yangu na ww bhana, yaani baada ya ushauri wote wa wadau hapo juu uka conclude uende!!...you are not serious mkuu.nakushauri husiende

atatupa feedback...ukiona kimya,,ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom