Kumbe nawe unalichukia li Nyani Ngabu😀😀😀.
Mngeanzisha chama chenu kabisa....Chama Cha Wanaolichukia Li Nyani Ngabu [CCWLNN].
Sijui hata mko wangapi ila nahisi mwaweza kuwa wengi.
Manake uko wewe, yule kakako, na kale ka nanihino, yule naniliu, na wengineo.