USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Ninahisi na wewe ni nataka sitaki, yaan kama vile unamtaka humtaki yaani hujielewi.
Kwa nini usitulie na mke wako?
Sijaoa na pia mtoto bado, na kwa sasa sina mpenzi.
Kiukweli nataka kumchakata, lakini sitaki drama za kutumika ovyo. Wengi wamenishauri nimkaushie....na wewe je? Wanishauri nifanye nini?
 
Sijaoa na pia mtoto bado, na kwa sasa sina mpenzi.
Kiukweli nataka kumchakata, lakini sitaki drama za kutumika ovyo. Wengi wamenishauri nimkaushie....na wewe je? Wanishauri nifanye nini?
Yaan kote umekosa hadi urudie ya kale? Mwaka mzima unajua ameshapita na wangapi? Kwanini vijana wa sikuhizi hamuwezi kujisimamia? Ishinde tamaa! Kumbuka mzahamzaha hutumbua usaha we endekeza hizo chatting!
 
Nahisi ni kama ungekuwa karibu ungekuwa ushanitandika kofi. Dah!
 
Kijana uyo manzi achana nae ulishamove on long time mpotezee uyo tangu lini matapishi yakarudishwa tena kinywani manzi ulishamkataa kitambo kuwa strong isitoshe atakudharau sana kuona kuwa auna msimamo
Umenena mkuu!! Nami nimeamua kulifanyia hilo kazi.
 
Kwani wewe ndiyo yule mkombozi wa single mothers aliyekuwa akisubiriwa??? "Single mama haolewi/haoleki"
 
Mbususu haisuswi mwanawane. Kama anaileta wee unaichakata tuu. Pesa makaratasi, utaitafuta tuu. Kamgegede bwana
 
Back
Top Bottom