USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Kumbe ka moyo kanamtaka, tukikuzuia utaenda tu mi naona fanya moyo wako unachopenda ila kinga ni muhimu

Nb limbwata nayo ipo huwezi juwa anakuwazia nini
Kweli tena siendi, kwanza nikikumbuka matukio ya nyuma...na mlivyoona hapo ni red flag!!! Acha ikae.
 
Mtihani ni nini tena? Hapo wee mwambie njoo lodge flani tuchakatane basi
Halafu niikule kama samaki sio?
Ila hapana, itabidi nifuate ushauri mkuu. Wacha ntakupa through pass ufanye yako.
 
Msitu mpya lakini nyani walewale
 
Achana nae,Linda hadhi yako achana na wanawake Malaya malaya
 
Vitu vingine sio hata vya kuomba ushauri... HAKUPENDI,amekwama huko ndio karudi kukurubuni......Akili mtu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…