Mmasai Asilia
Member
- Jul 22, 2015
- 48
- 6
Mambo vipi wanajukwaa la MMU, nimewamiss kwa muda.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuhitaji ushauri kutoka kwenu, jana wakati nipo na mpenzi wangu, simu yake ilipigwa na namba ngeni, sasa katika kusikiliza maongezi ya upande wa pili alikuwa ni mwanamke mwenzake.
Wakaongea kama dakika 1 hivi alafu katikati ya maongezi yule mwenzake akamuuliza mpenzi wangu, mbona hujaniletea tena Tv, baada ya hapo mpenzi wangu akazuzuga na kisha kukata simu.
Nilipojaribu kumuuliza akawa anamumunyamumunya maneno, ikumbukwe kuwa hawa wote ni wanafunzi wa chuo na uwezo wa kununua Tv hawana kwa jinsi navyowajua. Msaada tutani kwa wale wanaofahamu walikuwa wanamaanisha nini?
Nawasilisha!