mito nashukuru sana kwa ushauri wako,shida ni nyumba yangu mwenyewe ya kujenga,and nina miezi 3 toka nihamie,halafu sinadhuluma wala sinauhusiano na mme wala hawala wa mtu.ila naamini Mungu atanipigania kwa hili.muniombee dua mwenzenu.mpaka nyumba naiogopa.leo sitapata usingizi na mida ndo hiyo inakaribia.