Acha bana utani,mie kweli hii kitu inanichanganya,naomba ushauri bana sio utani serious.samahani nimesahau kukuambia, nlitaka ukiamka ndo nikwambie.....kumbuka vizuri jana ilikuwaje??? umesahau??? ngoja ni ku pm
nzenzu unachosema ni kweli na nimegundua after posting lakini halijaharibika neno stil waweza nishauri,so confused with this stuation.Umechanganya majukwaa nadhani.
Acha bana utani,mie kweli hii kitu inanichanganya,naomba ushauri bana sio utani serious.
sasa nyiniemu with my tatizo inahusiana nini tena,Umechanganya jukwaa wewe, hapa sio mahala pake, peleka MMU, huko kuna maspecialist wakushauri. Pole sana. I guess nyie ndio wale wale NYINYIEM.
never in my life hata siku moja.unatembea na mume wa mtu???utasema yote safari hiii!
kweli imetokea,and inanichanganya sana sangarara.sijui ni nini hata kimetokea.kumbuka vizuri aisee, inawezekana hicho kitu hakijatokea ila unafrustration zingine tu, hemu angalia hii post ulipoiweka kwanza inaweza kukusaidia kujua tatizo lako.
mganyizi hata sijawahi kufikahuko kabisa.Ulishiriki kugawa sanda kule Nachingwea.
Umechanganya jukwaa wewe, hapa sio mahala pake, peleka MMU, huko kuna maspecialist wakushauri. Pole sana. I guess nyie ndio wale wale NYINYIEM.
asante kwa ushauri wako,hapana sikunywa pombe na huwa situmii pombe kabusa.ntakuPM SOON.Kama muislam muite shehe akusomee dua, kama mkristo muite mchungaji akuombee, kwa ushauri zaidi wa kisaikolojia ni pm. Vp ulikunywa pombe?
asante petcash,ntakuja kwa maombi maana ninauhakika sijavua mwenyewe.logically : Inawezekana we mwenyewe ndo ulizivua ukiwa subconscious usiku. Labda ulikuwa ujiskia joto sana na usingizi ukawa mzito hivyo katika zoezi zima na kujisaula ukashindwa kuweka kumbukumbu vizuri...imeshanitokea so that is my explanation logically.
spiritually: Kama kuna spiritual forces involved basi mamajack njoo ufanyiwe maombi
asante ladyg.nisaidie pia kuniombea,kweli sijavua mwenyewe,maana huwa siwezi kulala bula nguo hata kama kuna joto kiasi gani.ixeee pole mama jack. Muite roho mtakatifu akufunulie hili. Au ulisahau ukavua ukiwa na usingizi mama jack mwenzangu.