Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Wewe acha kazi ukae na mke wako 24/7 limbukeni ya ndoaWakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..
Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.
Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.
Karibuni wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna rudi usiku mkuu na juzi nililala nje na nyumbani aisee nimerudi tu balaa tupuKwani hua haurudi nyumbani? Au unatafuta pesa 24/7 365?
Au nenda katafute naye.
Mkuu sidhani kama umenitendea Haki.. Majibu gani hayo? Sema nini Asante pia
Ongozana nae kila uendako kama mkiaWakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu..
Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini mwa Tanzania ni.
Ninachotaka ni jinsi ya kutenganisha muda wa kusaka pesa na kumpa muda huyu mke inaonekana anataka tukae tu muda wote Sasa izi ishu sio aise.. Nahitaji muda nisake pesa.
Karibuni wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama umenijibu Sawa SawaOngozana nae kila uendako kama mkia
Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
Hahah haya mkuuKazi ipo, yaani unatupatia updates ya kila hatua ya ndoa yako. Ndoa za utotoni ni hatari.
Be you.
Mkuu sidhani kama umenitendea Haki.. Majibu gani hayo? Sema nini Asante pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hatari sana kama ni hivyo Sawa kwa ushauri mkuuSema nini jamaa....anachomaanisha ni kuwa, humpi muda wa kutosha kumgonga, sasa ww kama nyonga ....!! Gonga hadi awe hawezi kukutazama tena...!! Kiufupi, hariziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh....Kuna vitu ni ngumu kusaidia asee
Ni suala la kupangilia ratiba zako
Au nenda na muhaya wako katika hizo mishe mishe ili awe anakuona kila muda
Kumbe majibu yaliyo sawa unayo?