Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
Huu nao ni ushauri wa kujenga?fanya mapenz mara kwa mara utapona
we unauonaje mfano sasa ajaribu aoneHuu nao ni ushauri wa kujenga?
Ninaweza fanya yangu binafsi jf ila sio mtu wa kukucomunicate na watu ninakuwa mtu wa kusoma thread tuSasa hapa umefikaje kama sio mpenz wa kuwasiliana na watu kwenye social media?
N:B Nia yangu ni kutaka kufahamu tu ila pole Mkuu
Una umri gani? Kama ni below 25 hizo ni hatua za makuzi zilizochelewa kidogo...fuata moyo wako utakacho usilazimishe usichokiweza utaishi kwa maumivuWakuu habari zenu
Nimekuwa na tatizo moja la kutokuwa mchangamfu mbele ya marafiki zangu pindi ninapisalimiana nao pia mimi ni mtu nisiyejali kwa vitu vingi sana mara nyingi uchukulia kawaida tu na sio mpenzi wa kuwasiliana na watu kwenye social media msaada kwa hilo wakuu ni tatizo gani hili
Una umri gani? Kama ni below 25 hizo ni hatua za makuzi zilizochelewa kidogo...fuata moyo wako utakacho usilazimishe usichokiweza utaishi kwa maumivu
Kama huna social activities jichunguze ni kitu gani kinakupa furaha kisha kifuate hicho lakini angalia kisiwe na makwazo kwa wengine
Furaha yako no muhimu kuliko chochote kile kwakuwa furaha huleta matumaini furaha ni afya ya akili na mafanikio
Then I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya harakaBelow 25
Then I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya haraka
Kuna nyakati utajikuta unataka kulia au unakasirika tu bila sababu au unakata tamaa huku ukiwa na options nyingi sana na ndoto nyingi
Just come down everything will be alright
fanya mapenz mara kwa mara utapona