Boniphace EXTENSIONIST DIPLOMA GENERAL AGRICULTUREHabari za leo natumaini wazima wote.
Nipo na mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, naomba ushauri kwa ufugaji wa nguruwe.
Nahitaji kujua gharama za nguruwe mmoja kumtunza kwa miezi6 na ufugaji kwa ujumla.
Karibuni tupate mawazo
Upo mkuranga ipi maana mm nipo ikwilili hapa nakomaa pia nakilimoYes ...wazo la kitaalamu zaid