Ushauri: Nina mil 150 niwekeze katika nini?

Really? benki gani wanafanya hiyo kitu nilijaribu kuuliza baadhi ya benki wananiambia milioni nne baada ya miezi minne
Access bank FDR account ya 30days inaanzia 11.2% kuna mtu nimemjibu hapa unaweza ukaona
 
Juzi nimepita Access bank FDR account ya 5M unapata return ya 11.2% kwa 30days na 11.5% kwa 60days 11.8% for 90days kwa miezi sita na kumi na mbili sikumbuki vizuri unaweza kuwafuatilia kama uko serious naweza kupa namba zao ukawatafuta

Niko serious mkuu, nahitaji hiyo ya 30 days
 
Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year.
my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa inahitajika.
Msimchanganye huyo mtu,its better akacheza na fixed deposit itamsaidia.Seems he can make some mistake in the process.ataroga mtu akifirisika.
 
1. Plan A: Nunua Drones , pump, na tractors then piga irrigation ya cash crops Uza as food and manufacturing in industries utahit $1B+ by 2020+

2.plan B: fanya kama mzee wa Berkyshire highways Warren Buffet in investments na kununua mahisa huko ...pengine unaweza ukatoboa
 
Njoo inbox, uje pale bank nikupe rate of interest ya 14%. Au nunua treasury bond pale BOT. Utapata mpaka milioni 25 kwa mwaka.tuwasiliane uje ofisini kwangu.
 
Wekeza katika kilimo

WEKEZA KATIKA VIWANJA NA NYUMBA.HAPO UNQ NYUMBA KAMA SITA HIVI ZA KITANZANIA ZILIZO BORA.HUU NDO UTAJIRI USIO NA HASARA

Me nakushauri wekeza katika fixed deposit utapata 21,000,000 kama retun ambapo ukiongea nao vizuri utapata 1,750,000 kila mwezi hiyo ni retun tuu apo nazungumzia return ya 14% na unaweza pia chukua hiyo 21 milion up front ukitaka for 1 year

Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year.
my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa inahitajika.
Kiukweli mkuu, jf ni mwisho wa mchezo , ni mifano tu, naamini wapo wengi watakupa ushauri mzuri humu ili kukutoa kimaisha, ni jukumu lako kutulia na kuona kwa mazingira yako kimaisha na upendeleo wako mwenyewe umependezewa na aina gani ya uwekezaji,
 
Fanya biashara ya kuuza pombe kali kwa bei za jumla
at least lakini pia angekaa sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu kiufupi...atafte sehemu yenye pambo kubwa kwa mwezi ambako kutamaanisha kuwa atapata watu wengi zaidi ,mfano posta,makumbusho, ubungo,kariakoo n.k
 
Njoo inbox, uje pale bank nikupe rate of interest ya 14%. Au nunua treasury bond pale BOT. Utapata mpaka milioni 25 kwa mwaka.tuwasiliane uje ofisini kwangu.
amwekeza 150 alafu kwa mwaka apate 25 huoni kuwa still atakuwa nje ya mstari maana kaweka ela nying anapata kidgo..wasomi nawapend sanh ati tr bond...but ungesema tr. bills inakuwa offered na gvment
 
s
Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year.
my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa inahitajika.
i kila unapotaka kutoa wazo basi unataka ela usifanye hvo bwanah...kwan hyo 150 ni ela nyngi sanah kwani....
 
Attachments

  • MSFT.PNG
    MSFT.PNG
    5.8 KB · Views: 33
Kwakweli sina mfano wa mtu moja kwa moja ila mara nyingi uwa nawasikiliza namna wanavyofanya katika uwekezaji kwa niaba ya wengine na imenivutia sana.
According to rumors
Mkuu, hongera sana. Nenda pale TATA, kawaone wakuuzie mabasi mawili... Unalipa advance kama mia arobaini na nyingine utamalizia. Ukinunua zile basi zinaweza kukaa miaka mitano zikapiga kazi fresh tu. Ila kabla hujazitia barabarani, hakikisha unazikatia BIMA kubwa...
Kwa siku gari inaleta laki mbili, so kwa mwezi unahesabu milioni sita kwa basi moja na kwa mwaka ni milioni 72 (Toa gharama nyingine unabaki na kama 50M) kwa mwaka. Kwa miaka mitano unagenerate kama M 250 kwa basi moja.
 
Tuliza akili kwanza usikurupuke. Kama vipi weka bank fixed deposit account. Mpaka utakapopata wazo zuri La bishara
 
Kweli upele umuota asiye na kucha.

Kwenye miti mingi hakuna wajenzi.

CC: Kaveli
 
Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu

asanteni kwa maoni
Weka fixed deposit account MAENDELEO BANK update faidike n.a. interest wakati unatafuta biashara ya kufanya .kama VIP tuwasiliane kwa ajili ya hiyo FDR MY NO 0672886127
 
Back
Top Bottom