Ushauri: Nina mahusiano na mwanamke 'msimbe'

Kuna dada niko nae kwenye mahusiano ila ni msimbe na maanisha aliwahiwa kuolewa na jamaa mwingine ila mimi na yeye tunapendana sasa mwenzangu ananiambie tuoane ila mimi naogopa kuchukua wowote maana yeye ni msimbe na mimi bado sijafanikiwa kupata mke ila nahisi nampenda nahitaji ushauri wenu.
Sikushauri kuoa huyo wanawake wa hivyo asilimia kubwa uwa wana mapungufu ya kitabia n. k kwa sasa si rahisi kujua ila muweke ndan ndio utajua asili haijifichi!
 
yaonyesha Umri wako bado mdogo sana hujakomaa huwez hata kufanya maamuz sahihi katika mapenzi...
Vijana wa siku hizi wamefanya suala la mahusiano kama ni suala la fashion, matokeo yake ni kwamba wanakuja kudhurika na magonjwa/ stress za kuachwa na kuiona dunia ni chungu
 
Ujana baana kazi kweli kweli. Ushahitimu elimu yako na umejaaliwa una kaajira kako kwahiyo umepata kajichumba kako umepanga una kitanda na godoro lako la 6*6, bas kila ukilala unagalagala godoroni unajihisi upweke wa hali ya juu unawaza sana juu ya daah ningekuwa na fulani hapa saa hizi ningekuwa natiana nae tu mwanzo mwosho.

Inatokea tu kwa bahati nzuri sijui mbaya inajitokeza kumma mdebwedo yaani ile loose ball bas kila akija jioni mnalala mnato.mbana weee hadi asubuhi kisha yanakuwa mazoea ,unaambiwa kila ukitoka zako tu job unawahi magetoni ile nimori hatari! Hakuna wakati mgumu wa kufanya maamuzi kama huo kwa mvulana- wakati huo muda nao hausubiri nakwambia unalala mbele ni kishenzi Yaani. Sasa ajitokeze mtu akushauri bwana wewe yule mwana'n'ke achana nae, weeeeee unaweza ukameza mtu mzima mzima.

Ni ujana tu huo ule mbichi mbichi bado unasumbua ,miaka ikisonga mbele unajifunza mengi inakuwa rahisi sana kufanya maamuzi sahihi hasa kwa jambo kama hilo
Wakat wa kufanya maamuzi sahihi atakuwa na miaka mingapi unadhani au wahitimu weng huwa wanakuwa na miaka mingapi ili wawe kwenye position ya kufanya maamuz sahihi?
 
Ujana baana kazi kweli kweli. Ushahitimu elimu yako na umejaaliwa una kaajira kako kwahiyo umepata kajichumba kako umepanga una kitanda na godoro lako la 6*6, bas kila ukilala unagalagala godoroni unajihisi upweke wa hali ya juu unawaza sana juu ya daah ningekuwa na fulani hapa saa hizi ningekuwa natiana nae tu mwanzo mwosho.

Inatokea tu kwa bahati nzuri sijui mbaya inajitokeza kumma mdebwedo yaani ile loose ball bas kila akija jioni mnalala mnato.mbana weee hadi asubuhi kisha yanakuwa mazoea ,unaambiwa kila ukitoka zako tu job unawahi magetoni ile nimori hatari! Hakuna wakati mgumu wa kufanya maamuzi kama huo kwa mvulana- wakati huo muda nao hausubiri nakwambia unalala mbele ni kishenzi Yaani. Sasa ajitokeze mtu akushauri bwana wewe yule mwana'n'ke achana nae, weeeeee unaweza ukameza mtu mzima mzima.

Ni ujana tu huo ule mbichi mbichi bado unasumbua ,miaka ikisonga mbele unajifunza mengi inakuwa rahisi sana kufanya maamuzi sahihi hasa kwa jambo kama hilo
Maneno kuntu hayo zingatia
 
Kwa 'uandishi' wako bado wewe ni kijana mdogo sana!! Au sio?

Pili umekurupuka!!! Na ni mgeni wa haya mambo.Ujue kabisa bado unahitaji muda wa kutosha kukua kiumri na akili pia.Usikimbilie mambo ambayo yatakuvurugia maisha yako ama yatakurudisha nyuma kimaendeleo!!

Unapozungumzia 'ndoa'ni swala lingine kabisa na ni maisha mengine.nahisi umepagawa na ngono unayopewa kila siku!!!

MASWALI YANGU YA MSINGI
Je mwanamke yuko na umri gani?
Je yuko na watoto wangapi?
Aliachika kwa kosa gani??
Uko na mda gani kwenye mahusiano nae??
Unataka kuoa utaweza kuitunza familia?
Kiumri kaka Yuko na miaka 17
Hana mtoto
Pia alimuacha mwanaume yeye cio kwamba aliachwa
Haraf kisa cha yeye kukimbia ndoa ni kunyanyaswa na huo jamaa maana alimuoa kwenye upali alikuwa mke wa pil
 
Ni aibu kijana ambaye hujawahi kuoa kabisa kuparamia used .
Ni vema ukatafta binti hata kama hutaikuta bikra.Hao wengine tuachieni sisi wenyewe.
Ajabu vijana mnaishia kubeba mikosi ya wengine tu.
Kila lakheri.
Kuwa used ni kuolewa tu?
Mbona wengi ni used. Mwanamke ye yote asiye bikira ni used. Isikusumbue kama unampenda muoe. Mbona hao wanalala na used women na used men
 
Back
Top Bottom