electrical
Member
- Dec 29, 2014
- 30
- 3
Napenda sana tabia zake ila tatzo ni mweusi na mimi napenda wanawake weupe.Moyo hautaki kumuacha, nafsi inasita kumuoa nahisi nitakua natamani sana weupe, nipo njia panda coz ni wife material sana.
Nishurini jamani nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake?
Nishurini jamani nimuoe hata kama nafsi ipo nusu nusu kwake?