Ushauri,nimtumie Mshana Jr au MziziMkavu?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Habari za humu,kuna kitu kidogo naomba msaada wenu...!
Kama mnavyojua kwenye baraza la mawaziri mpaka sasa kuna upungufu wa kichwa kimoja (Kitwanga hayupo) na ninadhani mkuu atakuwa anaumiza kichwa nani akabe hiyo nafasi.
Sasa ombi langu kwenu ni,je mtumie mtaalamu gani kati ya hao genius wawili hili niweze kuziba hilo pengo tajwa hasa ukizingatia vigezo na elimu sina kabisa vya kuweza kupata hiyo nafasi?
Najua yote yanawezekana hasa kukiwa na mtaalam sahihi katika wakati sahihi.
Je ni Mshana Jr,Mzizimkavu au kama itawezekana kuwatumia wote wawili?
Karibuni sana kwa maoni
Weka utani pembeni,watu tuko serious.
 
Njia rahisi usinywe kilevi wakati wa kazi! na usiongee kwa mapozi, ukiulizwa swali kuanzia sasa hivi usijibu sentensi moja....kama cv yako ipo tayari peleka magogoni....
 
Back
Top Bottom