Ushauri: Nimjibuje Ma'mkwe meseji yake hii ya G9t

Mkuu hadi muda huu hujatikisa nyavu unasubiri nini..Fahari ya familia ni mtoto ohoo
 
Unazidi kujichelewesha kuandika thread

Kweli kabisaaaaa , anazidi kujichelewesha kwa kuandika na kujibu comments.

Endelea vivyo hivyo kujibu comments humu JF naamini utapata unachokitafuta ambacho ni hiki hapa nilichoandika. .

Any way, ngojea siku Mama Mkwe akiomba kujaribu game na wewe ili ajue Kama wewe ni kimeo ama bwabwa ndiyo utaenda kupiga game vizuri.
 
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia

Mamkwe keshaona unakuwa mzembe mzembe tu
 
Back
Top Bottom