Ushauri: Nimjibuje Ma'mkwe meseji yake hii ya G9t

Hadi sasa hivi hujamjibu au bado umelala?

M text msg Mwambie "usijali Mama"...
Nipo stranded ...sijamjib bado. Nataka kuipotezea lakn najua simu tutakayoongea nae hata iwe ni wiki ijayo lazima ataanza na msg yake ya mwisho, atasema ....'uliiona msg yangu yangu mwanangu?'...afu atasema 'mbona haukunijbu.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Msg hii imenitoa kwenye mood na usingizi wangu umepaa kabisa. Badala ya kulala naona kama kumeishapambazuka na siwez kulala tena. Mama mkwe ameniandikia...

"Lala unono mwanangu. Leo nilikua na siku ndefu lakn pia nilitingwa nikashindwa kukujulia hali. Vipi mipango yako imeendaje? Na mwenzio je, anaendeleaje? Nawaombea kila ninapolala ili usingizi wenu uzae matunda maana siku zinakwenda. Nawapenda sana, nisikucheleweshe."

Nawaza jinsi ya kuijibu, lakini najiskia kufadhaika pia
Huwezi jibu make ubongo wako haufikirii vyema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo stranded ...sijamjib bado. Nataka kuipotezea lakn najua simu tutakayoongea nae hata iwe ni wiki ijayo lazima ataanza na msg yake ya mwisho, atasema ....'uliiona msg yangu yangu mwanangu?'...afu atasema 'mbona haukunijbu.

An ant on the move does more than a dozing ox.

Kuna jambo linaendelea kati ya mke wako na mama yake. Kama ni mimba lazima mke wako kapeleka taarifa kwa mama yake na mama mkwe anajaribu kukushinikiza.
 
Mama wakwe wengine sijui wapoje, suala la kuzaa linawahusu wewe na mkeo na Mungu akihusika kwa kiasi kikubwa.
Suala la kuwashinikiza kuzaa kama ndicho alichokuwa anafikiria si sahihi kwani havijui vipaumbele vyenu.
Mjibu kistaarabu tu kuwa Mungu akipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh...bas kaz ipo. Mbona mapema hivi mkuu. Ni miezi 2 tu tangu nimemuolea mwanae

An ant on the move does more than a dozing ox.

Mapema gani wakati kuna watu wanaoa wakati bi harusi mjamzito na wengine bi harusi kajifungua miezi au miaka imekwisha pita. Unachokifanya ni sawa na kuajiriwa halafu unapewa desk halafu umekaa tu uwashi computer wala kufanya kazi kwa mujibu wa job description na rules and regulations.
 
Hii si busara hata kidogo! Wakwe vi hele hele ni hatari kwa Afya ya ndoa yoyote ile maana Leo kapata ujasiri wa kuvuka mipaka yake kesho atavamia nchi awaache miguu chanuu ka kifo cha mende! Kua nae makini mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongoz ndoa mbona ina miez 2 tu tayar mamamkwe analeta kashkash...kwel!!? Au amemaanisha nn...

An ant on the move does more than a dozing ox.
Wife kaenda kulalamika alitegemea hatoona siku zake mwezi wa kwanza! Kashangaa kakutegea tena bado anashangaa !!!! Mkamulie ndimu !!
 
Back
Top Bottom